Tom Mathinji
Viongozi wa mashtaka wakataa kumshtaki Rais Ramaphosa
Viongozi wa mashtaka nchini Afrika kusini wamesema kuwa hawatamfungulia Rais Cyril Ramaphosa mashtaka ya uhalifu kuhusiana na sakata ya wizi wa shamba ambayo nusura...
Maeneo 12 ya Tana River yawekewa kafyu ya siku 30
Serikali imetangaza kafyu ya siku 30 katika maeneo 12 kaunti ya Tana River, yakitajwa kuwa hatari na yasiyo na usalama.
Hayo yanajiri baada ya jamii...
Vifungo vya miaka 67 vya Waluke na Wakhungu vyabatilishwa
Mahakama ya rufani imefutilia mbali kifungo cha miaka 67 gerezani alichohukumiwa mbunge wa Sirisia John Waluke na mshirika wake wa zamani wa kibiashara Grace...
Wadau Nairobi watakiwa kushughulikia changamoto zinazozuia upatikanaji haki
Jaji Mkuu Martha Koome ametoa wito kwa serikali ya taifa, ile ya kaunti ya Nairobi na wadau wengine, kushirikiana ili kutatua vizingiti dhidi ya...
Taifa hili lina mahindi ya kutosha, asema waziri Karanja
Wizara ya kilimo imehakikisha kuwa taifa hili lina mahindi ya kutosha, baada ya kushuhudia mavuno yaliyoimarika mwaka 2023.
Waziri wa kilimo Andrew Karanja, amedokeza kuwa...
Rais Biden na Netanyahu wazungumza kwa njia ya simu
Rais wa Marekani Joe Biden amefanya mazungumzo ya simu yaliyotarajiwa na waziri mkuu wa Israel, ambayo yanaaminika kuwa mazungumzo yao ya kwanza baada ya...
Duale: Miti milioni 481 imepandwa hapa nchini mwaka huu
Waziri wa mazingira Aden Duale, amesema wakenya tayari wamepanda miche Milioni 481 ya miti tangu mwezi Januari mwaka huu, kama sehemu ya juhudi za...
Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya Afya ya Akili duniani
Kenya inaungana na mataifa mengine duniani leo Alhamisi, kuadhimisha siku ya afya ya akili ulimwenguni.
Maadhimisho hayo ya kila mwaka ya Oktoba 10, yalianzishwa na...
Kenya yachaguliwa katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Kenya kuwa mwanachama wa Baraza la Umoja wa Mataifa la haki za kibinadamu, kuanzia Januari 1,2025.
Kenya ilichaguliwa...
Siku ya Moi Dei ilivyobadilika na kuwa siku ya Mazingira
Siku kuu ya Moi,almaarufu Moi Dei, iliadhimishwa kwa kipindi cha takriban miongo miwili. Rais Daniel Arap Moi alichukua hatamu za uongozi wa taifa hili...