Tom Mathinji
Wito watolewa wa kuongezwa ufadhili kwa sekretarieti ya EAC
Makarani wa mabunge katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC wametoa wito wa kuongezwa ufadhili kwa sekretarieti ya jumuiya hiyo.
Wito huo ulioongozwa na...
Bangi ya thamani ya shilingi milioni 6 yanaswa Isiolo
Kikosi cha maafisa wa usalama kimenasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 6 katika kaunti ya Isolo.
Operesheni hiyo ilitekelezwa baada ya maafisa hao kupata...
Msako dhidi ya uuzaji haramu wa dawa waanzishwa
Bodi ya dawa na sumu, imeimarisha juhudi zake za kukabiliana na usambazaji haramu wa dawa kwenye maduka ya dawa, katika juhudi za kulinda afya...
Raia wawili wa kigeni wakamatwa na pembe za ndovu Mombasa
Maafisa wa huduma kwa wanyamapori nchini KWS, wamewakamata raia wawili wa kigeni wakiwa na pembe 11 za ndovu.
Paulo Telek na Paulo Kuya wote raia...
Vijana kaunti ya Kitui wataka kumbandua Gavana Malombe
Baadhi ya vijana kaunti ya Kitui wameanzisha mchakato wa kumbandua Gavana wa kaunti hiyo Julius Malombe.
Wakiwahutubia wanahabari mjini Kitui, vijana hao walilalamikia utumizi mbaya...
Mbinu mpya za kukabiliana na wizi wa mitihani zatangazwa
Huku mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE ukiingia wiki ya nne leo Jumatatu, waziri wa elimu Julius Migos, ameelezea mbinu mpya za...
Mombasa Combined kuwania mataji ya Afrika Mashariki
Timu ya ndondi ya Mombasa Combined itashiriki katika mapigano baina ya vilabu, kuwania mataji ya kanda ya Afrika mashariki.
Akizungumza mjini Mombasa wakati timu...
Waziri Mkuu wa Haiti Garry Conille afutwa kazi
Baraza la mpito nchini Haiti limemfuta kazi kaimu Waziri Mkuu Garry Conille, miezi sita baada ya kuongoza taifa hilo la Caribbean.
Kulingana na amri ya...
Dkt. Amoth: Chanjo ya Polio ni salama kwa watoto
Huku awamu ya pili ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio ikianza siku ya Jumapili, wizara ya afya imesisitiza kuwa chanjo hiyo ni...
Gachagua atoa wito kwa Wakenya kudumisha amani
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameendeleza wito wake wa kuwataka Wakenya kudumisha amani, na kufanya kazi kwa bidii wakati huu mgumu wa kiuchumi.
Akizungumza alipohudhuria...