Tom Mathinji
Dorcas: Vita dhidi ya pombe haramu viimarishwe
Mke wa Naibu Rais Mchungaji Dorcas Rigathi, ameshikilia haja ya taifa hili kushirikiana kuimarisha vita dhidi ya uraibu wa pombe na utumizi wa mihadarati.
Dorcas...
Tiger Traffic ndio mabingwa wa kombe la Ismael Kaunti ya Mandera
Timu ya Tiger Traffic ndio mabingwa wa awamu ya kwanza, kombe la Ismail, baada ya kuilaza White city mabao 3-1 Kupitia mikwaju ya penalti.
Kufuatia...
Maafisa wanasa sukari iliyokuwa ikiingizwa hapa nchini
Maafisa wa forodha katika kituo cha mpakani cha Malaba wamezuilia malori manne yaliyokuwa yamebeba sukari ya thamani ya mamilioni ya pesa.
Shehena hiyo ambayo...
Wafanyabiashara katika masoko ya Marikiti na Muthurwa wakubali kuhama
Wafanyabiashara katika masoko ya Muthurwa na Wakulima Nairobi, wamekubali kuhamia soko lililoko katika barabara ya Kangundo siku chache baada ya kupinga hatua hiyo.
Gavana wa Nairobi...
Watu 37 wahukumiwa kifo nchini DRC
Mahakama moja ya kijeshi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imewahukumu kifo watu 37 kwa kujaribu kuipindua serikali mwezi Mei.
Miongoni mwa watu hao ni...
Gachagua awaonya viongozi dhidi ya siasa za migawanyiko
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amewaonya viongozi dhidi ya kueneza siasa za migawanyiko, badala yake aliwahimiza kuwahudumia wananchi.
Akiwahutubia wakazi Nyeri mjini, baada ya kufungua rasmi...
Duale: Serikali itakabiliana na ukataji haramu wa miti
Waziri wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabia Nchi Aden Duale, ameahizi kumaliza ukataji haramu wa miti, katika misitu ya serikali.
Waziri huyo alisema ukiukaji wa...
Kenya haijanakili kisa kipya cha ugonjwa wa Mpox
Taifa hili halijanakili kisa chochote kipya cha ugonjwa wa Mpox, katika muda wa saa 24 zilizopita.
Kulingana na taarifa ya wizara ya afya, idadi ya...
Viongozi wa Kiama kia Ma wahimiza umoja Mlima Kenya
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Laikipia, wamemlaumu mbunge Mwangi kiunjuri wa Laikipia Mashariki na kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Kimani Ichungwa...
Mradi wa ClimateWorX kuwaajiri vijana 200,000, asema Rais Ruto
Rais William Ruto siku ya Alhamisi alizindua Mradi wa Kitaifa wa Kukabiliana na Hali ya Hewa, ambao unalenga kubuni nafasi za kazi kwa vijana...