Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1555 POSTS 0 COMMENTS

Kaunti ya Turkana yajizatiti kuhakikisha upatikanaji maji safi

0
Serikali ya kaunti ya Turkana kwa ushirikiano na  Millennium Water Alliance na mpango wa DRIP FUNDI, zimeanzisha mpango wa kuhakikisha upatikanaji wa maji safi...

Waziri Duale azindua mradi wa kuhifadhi msitu wa Mlima Elgon

0
Waziri wa mazingira, Mabadiliko ya Tabia Nchi na misitu  Aden Duale, Leo Alhamisi, amezindua mradi wa shilingi Milioni 620 wa kuhifafhi msitu wa Mlima...

Kenya ni salama, asema Naibu Rais Kithure Kindiki

0
Naibu Rais Kithure Kindiki amesema nchi iko salama chini ya serikali ya Kenya Kwanza. Akizungumza na wanahabari katika jumba la Harambee Annex jijini Nairobi, Kindiki...

Mkurugenzi Mkuu wa KAA atozwa faini ya shilingi 500,000

0
Bunge la taifa limemtoza faini ya shilingi 500,000 Mkurugenzi Mkuu wa halmashauri ya kusimamia viwanja vya ndege nchini KAA Henry Ogoye, kwa kukosa kufika...

Wafanyabiashara zaidi ya 1,000 waingia soko jipya la Githurai

0
Wafanyabiashara zaidiya 1,000 katika soko la Githurai 45, kaunti ndogo ya Ruiru kaunti ya Kiambu, hatimaye wameingia katika soko jipya la Githurai. Hafla hiyo iliongozwa...

Polisi wanasa kemikali aina ya Ethanol Kiambu

0
Maafisa wa polisi katika eneo la Juja, kaunti ya Kimabu, wamenasa lita 480 za kemikali aina ya ethanol pamoja na pombe bandia,zilizokuwa zimefichwa katika...

Mshukiwa wa wizi wa simu za mkononi akamatwa Kisauni

0
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa wizi wa simu za mkononi, anayedaiwa kuwa huwa anapokea rununu zilizoibwa katika eneo la Kisauni na viunga vyake. Ndaziziye...

Murkomen: Wizara ya Michezo itaboresha ukuzaji wa talanta

0
Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen, amesema wizara yake itaunga mkono Chama cha Riadha nchini AK, kuandaa kambi za mafunzo kwa vijana wakati huu ambapo...

Rais Ruto ampongeza Donald Trump

0
Rais William Ruto amempongeza Donald Trump kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa 47 wa Marekani. Katika ujumbe wa pongezi kwenye mtandao wa X, Rais Ruto...

Pande husika Sudan Kusini zakubali kurejelea mazungumzo ya upatanishi

0
Pande husika kwenye mchakato wa amani nchini Sudan kusini zimekubaliana kurejelea mashauriano ya upatanishi jijini Nairobi ili kushughulikia maswala yaliyosalia. Mkataba huo uliafikiwa wakati...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS