Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1328 POSTS 0 COMMENTS

Idadi ya waliofariki katika ajali ya mashua Senegal yafika 26

0
Jeshi la wanamaji nchini Senegal, leo Jumanne limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya mashua siku ya Jumapili, imefika 26. Ajali hiyo ilitokea...

Israel yashambulia Gaza kuwalenga makamanda wa Hamas

0
Takriban watu 13 wameuawa katika shambulio la Israel lililofanyika usiku katika eneo lililoteuliwa la amani kusini mwa Gaza, hospitali moja ya eneo hilo imesema. Wakazi...

Dickson Ndiema aliyemchoma moto Rebecca Cheptegei amefariki

0
Dickson Ndiema anayedaiwa kumchoma moto mwanariadha raia wa Uganda Rebecca Cheptegei, amefariki. Ndiema alifariki alipokuwa akitibiwa majeraha ya moto katika hospitali ya mafunzo na rufaa...

Uenyekiti wa AUC: Vijana wa Afrika wamuunga mkono Raila

0
Muungano wa mashirika ya vijana na makundi ya wadau kutoka bara Afrika, yameunga mkono uwaniaji wa Raila Odinga kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja...

Mbunge wa zamani wa Bomachoge Chache Simon Ogari afariki

0
Aliyekuwa mbunge wa Bomachoge Chache Simon Ogari ameaga dunia. Viongozi wa kaunti ya Kisii wakiongozwa na Seneta Richard Onyonka na Seneta mteule Esther Okenyuri, walimuomboleza...

AFCON 2025: Kenya kuchuana na Namibia Jumanne usiku

0
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itachuana na Namibia leo Jumanne saa moja usiku, katika mechi ya Kundi J kufuzu kwa Kombe la...

Kenya yasimamisha uagizaji sukari kutoka nje ya COMESA na EAC

0
Waziri wa kilimo Dkt. Andrew Karanja, amepiga marufuku uagizaji sukari kutoka mataifa yasiyo wanachama wa soko la pamoja la Kusini na Mashariki mwa Afrika...

Serikali yatakiwa kusimamisha uagizaji Macadamia kutoka nchi za nje

0
Chama cha wafanyabiashara wa bidhaa zinazotokana na zao la  Macadamia, kimetoa wito kwa serikali kurejesha marufuku  ya uagizaji nje wa  zao hilo la  Macadamia. Kulingana na chama...

Washukiwa wawili waliokuwa na vilipuzi wakamatwa Kisii

0
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa wawili wakiwa na vifaa vinavyoshukiwa kuwa vilipuzi, katika kaunti ya Kisii. Wilfred Chaha Mokami mwenye umri wa miaka  28 na ...

Madereva wa malori ya masafa marefu wahofia usalama wao

0
Madereva wa malori ya masafa marefu, wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama katika barabara kuu za Kisumu -...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS