Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1148 POSTS 0 COMMENTS

Kanja: Hatujapiga marufuku maandamano ya umma

0
Kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja, amebatilisha agizo lake la hapo awali la kupiga marufuku maandamano Jijini Nairobi, akisema kuwa hajapiga marufuku maandamano...

Hatua muhimu zitakazochukuliwa na serikali ya Rais Ruto

0
Rais William Ruto ametangaza hatua  muhimu ambazo serikali yake inalenga kutekeleza, ili kutatua maswala yaliyoibuliwa yanayokumba taifa hili. Akizungumza leo Ijumaa baada ya kutangaza nusu...

Rais Ruto ataja nusu ya kwanza ya Mawaziri 11

0
Rais William Ruto leo Ijumaa katika Ikulu ya Nairobi, ametaja nusu ya kwanza ya Mawaziri 11. Kiongozi wa taifa alisema atawataja mawaziri wengine hivi karibuni,...

Wakfu wa Ford watakiwa kutoa maelezo kuhusu mashirika inayofadhili

0
Serikali ya Kenya siku ya Jumatano iliiandikia wakfu wa Ford, kuhusu uwezekano wa baadhi ya mashirika inayofadhili kujihusisha katika maandamano ya hivi punde dhidi...

Wafanyakazi wa kampuni ya KEWASCO wagoma

0
Wafanyakazi wa kampuni ya maji na usafi (KEWASCO) kaunti ya Kericho, wamesusia kazi wakidai hawajapokea mshahara kwa muda wa miezi 17, ambazo ni jumla...

Tifa: Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z

0
Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z, wanaoishinikiza serikali kufanya mabadiliko nchini. Hii ni kulingana na kura ya maoni iliyotekelezwa na kampuni ya utafiti...

Washukiwa watano wakamatwa kwa wizi wa shilingi Milioni 450

0
Tume ya kukabiliana na ufisadi hapa nchini EACC, imewakamata washukiwa watano kati ya 13, wanaohusishwa na wizi wa shilingi Milioni 450 katika idara ya...

Mahakama yabatilisha marufuku dhidi ya maandamano

0
Agizo la kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja la kupiga marufuku maandamano dhidi ya serikali, limebatilishwa na Mahakama Kuu. Kupitia kwa taarifa tarehe Julai...

Musalia Mudavadi ateuliwa kukaimu nyadhifa zote za mawaziri

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ameteuliwa kukaimu nyadhifa zote za mawaziri. Nyadhifa zote 21 ziliachwa wazi baada ya Rais William Ruto kuvunja Baraza lake...

Rais Ruto ampongeza Rais Paul Kagame wa Rwanda

0
Rais William Ruto amempongeza Rais wa Rwanda Paul Kagame, kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa Urais ulioandaliwa Jumatatu. “Kwa niaba ya raia na serikali ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS