Tom Mathinji
Mradi wa ClimateWorX kuwaajiri vijana 200,000, asema Rais Ruto
Rais William Ruto siku ya Alhamisi alizindua Mradi wa Kitaifa wa Kukabiliana na Hali ya Hewa, ambao unalenga kubuni nafasi za kazi kwa vijana...
Ogamba: WFP hufanikisha mpango wa lishe shuleni
Waziri wa elimu Julius Ogamba, amesema mpango wa chakula dunia WFP, hutekeleza jukumu muhimu kushirikisha usaidizi kutoka kwa washirika kupiga jeki mpango wa serikali...
Rais Ruto kufanya ziara ya siku mbili Ujerumani
Rais William Ruto ataondoka hapa nchini Alhamisi jioni, kuelekea nchini Ujerumani kwa ziara rasmi ya siku mbili.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kitamaduni...
Shule zimeagizwa kutekeleza kikamilifu miongozo ya usalama
Wizara ya elimu imetoa agizo kwa shule zote za bweni, kuzingatia kikamilifu miongozo ya usalama iliyopo, ili kuepusha mikasa kama ile iliyotokea katika shule...
KQ na Jambo Jet zafutilia mbali safari za ndege
Shirika la ndege la Kenya Airways, KQ na kampuni ya Jambo Jet zimetangaza kufutilia mbali safari zao za ndege, kufuatia mgomo unaoendelea wa wafanyakazi...
Maafisa wa DCI wamkamata mshukiwa wa ulaghai
Maafisa wa upelelezi wa maswala ya jinai DCI kutoka makao makuu ya Nairobi, wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, almaarufu Dan, nyumbani kwake mtaani Kimbo kwa...
AFCON 2025: Harambee Stars yaongoza kundi J baada ya kuilaza Namibia
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars ilifufua matumaini yake ya kufuzu kwa michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2025, baada ya kuilaza...
Kaunti ya Nairobi kujenga madarasa 114 mapya katika shule...
Serikali ya kaunti ya Nairobi , imetangaza mipango ya kujenga madarasa 114 mapya, kwenye taasisi za Chekechea (ECDE), katika wadi zote 85, ili kupunguza...
Shughuli zalemazwa katika viwanja vya ndege nchini
Abiria katika viwanja vya ndege hapa nchini, wametatizika kufuatia kuanza kwa mgomo wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya safari za angani (KAWU), kupinga ...
Wahudumu wa afya kaunti ya Meru wahimizwa kusitisha mgomo
Katibu wa kaunti ya Meru Dkt Kiambi Athiru, ametoa wito kwa wahudumu wa afya katika kaunti hiyo kusitisha mgomo wao, akihakikisha kuwa serikali ya...