Tom Mathinji
Idadi ya waliofariki katika ajali ya mashua Senegal yafika 26
Jeshi la wanamaji nchini Senegal, leo Jumanne limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya mashua siku ya Jumapili, imefika 26.
Ajali hiyo ilitokea...
Israel yashambulia Gaza kuwalenga makamanda wa Hamas
Takriban watu 13 wameuawa katika shambulio la Israel lililofanyika usiku katika eneo lililoteuliwa la amani kusini mwa Gaza, hospitali moja ya eneo hilo imesema.
Wakazi...
Dickson Ndiema aliyemchoma moto Rebecca Cheptegei amefariki
Dickson Ndiema anayedaiwa kumchoma moto mwanariadha raia wa Uganda Rebecca Cheptegei, amefariki.
Ndiema alifariki alipokuwa akitibiwa majeraha ya moto katika hospitali ya mafunzo na rufaa...
Uenyekiti wa AUC: Vijana wa Afrika wamuunga mkono Raila
Muungano wa mashirika ya vijana na makundi ya wadau kutoka bara Afrika, yameunga mkono uwaniaji wa Raila Odinga kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja...
Mbunge wa zamani wa Bomachoge Chache Simon Ogari afariki
Aliyekuwa mbunge wa Bomachoge Chache Simon Ogari ameaga dunia.
Viongozi wa kaunti ya Kisii wakiongozwa na Seneta Richard Onyonka na Seneta mteule Esther Okenyuri, walimuomboleza...
AFCON 2025: Kenya kuchuana na Namibia Jumanne usiku
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itachuana na Namibia leo Jumanne saa moja usiku, katika mechi ya Kundi J kufuzu kwa Kombe la...
Kenya yasimamisha uagizaji sukari kutoka nje ya COMESA na EAC
Waziri wa kilimo Dkt. Andrew Karanja, amepiga marufuku uagizaji sukari kutoka mataifa yasiyo wanachama wa soko la pamoja la Kusini na Mashariki mwa Afrika...
Serikali yatakiwa kusimamisha uagizaji Macadamia kutoka nchi za nje
Chama cha wafanyabiashara wa bidhaa zinazotokana na zao la Macadamia, kimetoa wito kwa serikali kurejesha marufuku ya uagizaji nje wa zao hilo la Macadamia.
Kulingana na chama...
Washukiwa wawili waliokuwa na vilipuzi wakamatwa Kisii
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa wawili wakiwa na vifaa vinavyoshukiwa kuwa vilipuzi, katika kaunti ya Kisii.
Wilfred Chaha Mokami mwenye umri wa miaka 28 na ...
Madereva wa malori ya masafa marefu wahofia usalama wao
Madereva wa malori ya masafa marefu, wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama katika barabara kuu za Kisumu -...