Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1318 POSTS 0 COMMENTS

Moto wazuka katika shule ya upili ya wasichana ya Isiolo

0
Moto umezuka katika bweni moja la shule ya upili ya wasichana ya Isiolo, Jumamosi usiku. Chanzo cha moto huo hakijabainishwa, lakini shirika la msalaba mwekundu...

Muthoni: vifaa zaidi vya matibabu vimepelekwa kaunti ya Nyeri

0
Wizara ya afya imesema itatoa vifaa vya matibabu vinavyohitajika, katika hatua ya kushughulikia waathiriwa wa mkasa wa moto uliotokea katika shule ya Hillside Endarasha...

Raia 8 wa kigeni wakamatwa Trans Nzoia

0
Raia 8 wa kigeni wamekatwa na maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia. Washukiwa hao wanaojumuisha raia wa Somalia...

Wataalam wapelekwa Hilliside Academy kuchunguza chanzo cha moto

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kikosi cha maafisa wa upelelezi  kimebuniwa na kupelekwa katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, kuchunguza chanzo cha...

Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha hawajulikani waliko

0
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, hawajulikani waliko baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni ya shule hiyo na kusababisha...

Serikali yatangaza siku 3 kuomboleza wanafunzi wa Hillside

0
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za kitaifa kuwaomboleza wanafunzi 18 wa shule ya Hillside Endarasha Nyeri, waliofariki katika mkasa wa moto. Kupitia kwa taarifa...

Nitawashtaki Polisi, asema Bobi Wine

0
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, leo Ijumaa amesema chama chake kitashtaki idara ya polisi, baada ya kujeruhiwa katika makabiliano na maafisa hao...

Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua Ndung’u amefariki

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua Ndung’u, amefariki. Kupitia mtandao wa X, Rais William Ruto amemuomboleza naibu huyo Gavana, akimtaja kiongozi aliyejitolea kuwahudumia...

Wandayi: Wakenya watapata umeme wa gharama nafuu

0
Serikali inalenga kuimarisha mikakati yake ya kuhakikisha wakenya wanapata nguvu za umeme za kutegemewa, za kutosha na za bei nafuu, ili kuchochea ukuaji wa...

Justice Mrima achaguliwa kuwa mwanachama wa JSC

0
Justice Antony Mrima, amechaguliwa kuwa mwanachama wa tume ya kuwaajiri wahudumu wa idara ya mahakama nchini, JSC. Sasa Jaji huyo sasa atawakilisha chama cha Majaji...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS