Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1150 POSTS 0 COMMENTS

Walipeni Wauguzi mara moja, aagiza Gavana Orengo

0
Gavana wa Siaya James Orengo ameagiza kutolewa kwa shilingi Milioni 9.8 zinazodaiwa na wauguzi wa kaunti hiyo, kwa muda wa miaka mitatu sasa. Orengo alisema...

Rebecca Miano anatarajiwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza mwanamke

0
Iwapo ataidhinishwa na bunge, basi Rebecca Miano ataandikisha historia kwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza mwanamke. Siku ya Ijumaa akitaja nusu ya kwanza ya mawaziri...

Kanja: Hatujapiga marufuku maandamano ya umma

0
Kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja, amebatilisha agizo lake la hapo awali la kupiga marufuku maandamano Jijini Nairobi, akisema kuwa hajapiga marufuku maandamano...

Hatua muhimu zitakazochukuliwa na serikali ya Rais Ruto

0
Rais William Ruto ametangaza hatua  muhimu ambazo serikali yake inalenga kutekeleza, ili kutatua maswala yaliyoibuliwa yanayokumba taifa hili. Akizungumza leo Ijumaa baada ya kutangaza nusu...

Rais Ruto ataja nusu ya kwanza ya Mawaziri 11

0
Rais William Ruto leo Ijumaa katika Ikulu ya Nairobi, ametaja nusu ya kwanza ya Mawaziri 11. Kiongozi wa taifa alisema atawataja mawaziri wengine hivi karibuni,...

Wakfu wa Ford watakiwa kutoa maelezo kuhusu mashirika inayofadhili

0
Serikali ya Kenya siku ya Jumatano iliiandikia wakfu wa Ford, kuhusu uwezekano wa baadhi ya mashirika inayofadhili kujihusisha katika maandamano ya hivi punde dhidi...

Wafanyakazi wa kampuni ya KEWASCO wagoma

0
Wafanyakazi wa kampuni ya maji na usafi (KEWASCO) kaunti ya Kericho, wamesusia kazi wakidai hawajapokea mshahara kwa muda wa miezi 17, ambazo ni jumla...

Tifa: Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z

0
Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z, wanaoishinikiza serikali kufanya mabadiliko nchini. Hii ni kulingana na kura ya maoni iliyotekelezwa na kampuni ya utafiti...

Washukiwa watano wakamatwa kwa wizi wa shilingi Milioni 450

0
Tume ya kukabiliana na ufisadi hapa nchini EACC, imewakamata washukiwa watano kati ya 13, wanaohusishwa na wizi wa shilingi Milioni 450 katika idara ya...

Mahakama yabatilisha marufuku dhidi ya maandamano

0
Agizo la kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja la kupiga marufuku maandamano dhidi ya serikali, limebatilishwa na Mahakama Kuu. Kupitia kwa taarifa tarehe Julai...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS