Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1341 POSTS 0 COMMENTS

Kenya haijanakili kisa kipya cha ugonjwa wa Mpox

0
Taifa hili halijanakili kisa chochote kipya cha ugonjwa wa Mpox, katika muda wa saa 24 zilizopita. Kulingana na taarifa ya wizara ya afya, idadi ya...

Viongozi wa Kiama kia Ma wahimiza umoja Mlima Kenya

0
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Laikipia, wamemlaumu mbunge Mwangi kiunjuri wa Laikipia Mashariki na kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Kimani Ichungwa...

Mradi wa ClimateWorX kuwaajiri vijana 200,000, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto siku ya Alhamisi alizindua Mradi wa Kitaifa wa Kukabiliana na Hali ya Hewa, ambao unalenga kubuni nafasi za kazi kwa vijana...

Ogamba: WFP hufanikisha mpango wa lishe shuleni

0
Waziri wa elimu Julius Ogamba, amesema mpango wa chakula dunia WFP, hutekeleza jukumu muhimu kushirikisha usaidizi kutoka kwa washirika kupiga jeki mpango wa serikali...

Rais Ruto kufanya ziara ya siku mbili Ujerumani

0
Rais William Ruto ataondoka hapa nchini Alhamisi jioni, kuelekea nchini Ujerumani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kitamaduni...

Shule zimeagizwa kutekeleza kikamilifu miongozo ya usalama

0
Wizara ya elimu imetoa agizo kwa shule zote za bweni, kuzingatia kikamilifu miongozo ya usalama iliyopo, ili kuepusha mikasa kama ile iliyotokea katika shule...

KQ na Jambo Jet zafutilia mbali safari za ndege

0
Shirika la ndege la Kenya Airways, KQ na kampuni ya Jambo Jet zimetangaza kufutilia mbali safari zao za ndege, kufuatia mgomo unaoendelea wa wafanyakazi...

Maafisa wa DCI wamkamata mshukiwa wa ulaghai

0
Maafisa wa upelelezi wa maswala ya jinai DCI  kutoka makao makuu ya Nairobi, wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, almaarufu Dan, nyumbani kwake mtaani Kimbo kwa...

AFCON 2025: Harambee Stars yaongoza kundi J baada ya kuilaza Namibia

0
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars ilifufua matumaini yake ya kufuzu kwa michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2025, baada ya kuilaza...

Kaunti ya Nairobi kujenga madarasa 114 mapya katika shule...

0
Serikali ya kaunti ya Nairobi , imetangaza mipango ya kujenga madarasa 114 mapya, kwenye taasisi za Chekechea (ECDE), katika wadi zote 85, ili kupunguza...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS