Tom Mathinji
Mshukiwa wa jaribio la mauaji ajisalimisha kwa polisi
Mshukiwa wa jaribio la mauaji Elias Mutugi, ambaye ni kasisi anayedaiwa kumdunga kisu mkewe kaunti ya Nakuru, amejisalimisha kwa polisi leo Jumatatu.
Huduma ya taifa...
Kenya yazindua kampeni ya siku 16 kupinga dhuluma dhidi ya wanawake
Kenya leo Jumatatu, imejiunga na ulimwengu kuadhimisha kampeni ya siku 16 za utoaji uhamasisho na kukomesha dhuluma dhidi ya wanawake.
Kwa mara ya kwanza,...
Gavana Sakaja aahidi kukarabati barabara kaunti ya Nairobi
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwa serikali yake imejitolea kukarabati barabara ambazo zimekuwa katika hali mbaya kwa...
Mshukiwa wa mauaji akamatwa Kiambu
Maafisa wa polisi wamemtia nguvuni Paul Odhiambo Owuodho, almaarufu Fazul Mohammed, kwa madai ya kumpiga risasi Abdirahim Abdullahi katika mtaa wa Eastleigh juma lililopita.
Mshukiwa...
Kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini Sudan yapokea msaada
Ni afueni kwa kambi ya wakimbizi ya ZamZam nchini Sudan, baada ya kupokea shehena ya kwanza ya msaada, kutoka Shirika la Chakula Duniani (WFP).
Kambi...
Abdi Ahmed Mohamud ateuliwa Afisa Mkuu Mtendaji wa EACC
Tume ya Maadili na kukabiliana na Ufisadi EACC, imemteua Abdi Ahmed Mohamud kuwa Afisa Mkuu Mtendaji.
Hadi kuteuliwa kwake, Ahmed alikuwa naibu Afisa Mkuu Mtendaji,...
Polisi wawakamata washukiwa sita kwa ulanguzi wa mihadarati
Maafisa wa polisi wamewakamata watu sita kwa madai ya ulanguzi wa bangi, katika visa viwili tofauti.
Katika kisa cha kwanza eneo la Merti, maafisa wa...
Aliyekuwa Mkuu wa vikosi vya KDF Robert Kibochi ateuliwa serikalini
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini KDF, Jenerali mstaafu Robert Kibochi, kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya hospitali...
Gavana Irungu apinga kupunguzwa kwa fedha zinazotengewa kaunti
Gavana wa kaunti ya Laikipia Joshua Irungu ametoa wito kwa bunge kutoingilia fedha zinazotengewa kaunti na tume ya mapato nchini CRA.
Irungu alisema iwapo kiwango...
Mtihani wa kidato cha nne KCSE wakamilika
Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne, KCSE umekamilika leo Ijumaa huku Wizara ya Elimu ikisema visa vya wizi wa mtihani huo vimepungua pakubwa.
Katibu...