Tom Mathinji
Vijana kaunti ya Kitui wataka kumbandua Gavana Malombe
Baadhi ya vijana kaunti ya Kitui wameanzisha mchakato wa kumbandua Gavana wa kaunti hiyo Julius Malombe.
Wakiwahutubia wanahabari mjini Kitui, vijana hao walilalamikia utumizi mbaya...
Mbinu mpya za kukabiliana na wizi wa mitihani zatangazwa
Huku mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE ukiingia wiki ya nne leo Jumatatu, waziri wa elimu Julius Migos, ameelezea mbinu mpya za...
Mombasa Combined kuwania mataji ya Afrika Mashariki
Timu ya ndondi ya Mombasa Combined itashiriki katika mapigano baina ya vilabu, kuwania mataji ya kanda ya Afrika mashariki.
Akizungumza mjini Mombasa wakati timu...
Waziri Mkuu wa Haiti Garry Conille afutwa kazi
Baraza la mpito nchini Haiti limemfuta kazi kaimu Waziri Mkuu Garry Conille, miezi sita baada ya kuongoza taifa hilo la Caribbean.
Kulingana na amri ya...
Dkt. Amoth: Chanjo ya Polio ni salama kwa watoto
Huku awamu ya pili ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio ikianza siku ya Jumapili, wizara ya afya imesisitiza kuwa chanjo hiyo ni...
Gachagua atoa wito kwa Wakenya kudumisha amani
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameendeleza wito wake wa kuwataka Wakenya kudumisha amani, na kufanya kazi kwa bidii wakati huu mgumu wa kiuchumi.
Akizungumza alipohudhuria...
Mifugo zaidi ya 700 waibwa Isiolo na Samburu
Idadi isiyojulikana ya majambazi waliwapiga risasi na kuwaua watu watatu na kuwajeruhi wengine watano, huku zaidi ya mifugo 700 wakiibwa katika visa tofauti vya...
Serikali yasema haitaingilia uchaguzi wa FKF
Serikali haitaingilia uchaguzi ujao wa Shirikisho la Soka humu nchini unaotarajiwa kuandaliwa Disembe 7,2024, lakini washikadau wote wanaohusika lazima wazingatie sheria.
Katibu katika wizara...
Prof. Kindiki: Kenya inaitambua Botswana kama mshirika muhimu wa maendeleo
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki, amesema Kenya na Botswana zinaimarisha ushirikiano katika sekta za Mabadiliko ya Tabia Nchi, Utalii, na biashara ya kahawa na...
Watu 25 wafariki katika mlipuko wa bomu Pakistan
Maafisa wa utawala nchini Pakistan wamesema kuwa takriban watu 25 wameuawa baada ya bomu kulipuka katika kituo cha reli kwenye jimbo la Balochistan.
Wengine wengi walijeruhiwa katika...