Tom Mathinji
Mvuvi auawa na kundi hasimu ziwa Viktoria
Mvuvi mwenye umri wa miaka 23 Jacob Odira, ameuawa kufuatia mzozo wa eneo la uvuvi katika ziwa Viktoria.
Odira alifariki karibu na ufuo wa Lela...
Maafisa wa usalama wapelekwa kudumisha amani Tana River
Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema maafisa wa asasi za usalama wamepelekwa katika kaunti ya Tana River kudumisha amani, siku chache baada ya...
Rais Ruto: Wakenya zaidi watapata ajira nchini Qatar
Rais William Ruto amesema kuwa Wakenya zaidi watapat fursa ya kufanya kazi nchini Qatar, punde tu mkataba wa maelewano kati ya nchi hizo mbili...
Gachagua akanusha madai ya kuwachochea wafanyabiashara Nairobi
Naibu Rais Rigathi Gachagua amejitetea dhidi ya madai kwamba aliingilia uongozi wa serikali ya kaunti ya Nairobi, kwa kuwachochea wafanyabiashara dhidi ya maagizo yaliyotolewa...
Kosa langu kuu ni kuwa msema ukweli, asema Gachagua
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amedokeza kuwa masaibu yanayomkumba ya kutaka aondolewe mamlakani, yanatokana na hulka yake ya kuwa msema ukweli.
Akihutubia taifa Jumatatu usiku katika...
Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhutubia taifa Jumatatu usiku
Naibu Rais Rigathi Gachagua, anatarajiwa kuhutubia taifa leo Jumatatu saa moja usiku.
Hotuba hiyo ya Gachagua itajiri saa chache baada ya Mahakama Kuu kukataa kusimamisha...
Mahakama Kuu yakataa kusimamisha mchakato wa kumtimua Gachagua
Mahakama Kuu hapa nchini imekataa kwa mara ya pili kutoa maagizo ya kusimamisha mchakato unaotekelezwa na bunge la taifa, wa kumtimua Naibu Rais Rigathi...
Idadi ya maafa kutokana na uja uzito yaongezeka Migori
Takriban wanawake 50 hufariki kila mwaka kutokana na changamoto za uja uzito katika kaunti ya Migori, hayo ni kulingana na mtaalam wa uzazi Dkt...
Serikali kukabiliana na tatizo la uvujaji damu kwa wingi baada ya...
Waziri wa afya Debora Barasa ametoa wito wa kutekelezwa juhudi za kukabiliana na tatizo la kuvuja damu kwa wingi baada ya kujifungua miongoni mwa...
Gachagua: Mchakato wa kisiasa haupaswi kuvuruga amani na umoja
Huku bunge likiendeleza mchakato wa kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua mamlakani, Gachagua ametoa wito kwa Wakenya kudumisha amani na umoja.
Gachagua amesema mchakato wa kisiasa...