Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1355 POSTS 0 COMMENTS

Njuri Ncheke: Waziri Kindiki ndiye kiongozi wa Mlima Kenya

0
Zaidi ya wazee 2,000 wa Njuri Ncheke kutoka Meru na Tharaka Nithi, wamemuidhinisha waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, kuwa kiongozi mpya...

Gavana Wamatangi afutilia mbali deni la matibabu la shilingi milioni 4

0
Gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi amefutilia mbali madeni ya matibabu yanayodaiwa wagonjwa 60 ya shilingi milioni 4 katika hospitali ya Thika Level...

Polisi watakiwa kuelezea aliko mwakilishi wadi ya Dela Yussuf Ibrahim

0
Viongozi wa eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi, wametoa wito kwa polisi, kuelezea aliko mwakilishi wadi wa Dela, Yussuf Hussein Ibrahim. Wakiongozwa na mbunge wa...

Nyakang’o: Afisi ya Mdhibiti wa Bajeti haina fedha za kutosha

0
Mdhibiti wa Bajeti Dkt. Margaret Nyakang'o amesema afisi yake inakabiliwa na uhaba wa fedha, hali inayohujumu utekelezaji wa majukumu yake. Alipofika mbele ya kamati ya...

Washukiwa wa wizi wakamatwa Mombasa

0
Washukiwa wawili wanaohusishwa na visa vya wizi mjini Mombasa, wamekamatwa na maafisa wa polisi wa idara ya kukabilana na makosa ya jinai DCI. Wawili hao...

Mwanzilishi wa bendi ya Them Mushrooms Teddy Kalanda amefariki

0
Mwanzilishi wa bendi ya maarufu hapa nchini ya Them Mushrooms Teddy Kalanda, ameaga dunia. Kalanda pamoja na ndugu zake wawili Billya Sarro na George Zirro,...

Sean ‘Diddy’ Combs akamatwa New York City

0
Mwanamuziki maarufu wa hip-hop Sean "Diddy" Combs amekamatwa katika jiji la New York kwa mashtaka ambayo hayajabainishwa. Kukamatwa kwa Diddy Manhattan kunafuatia uvamizi wa mali...

Gavana Sakaja awateua wasimamizi wa hospitali za Level 5

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amewateua wasimamizi wakuu wanne wa hospitali za Level 5 ili kuimarisha utoaji huduma wa vituo hivyo vya...

Bunge la Taifa kurejelea vikao vyake leo Jumanne

0
Bunge la Taifa litarejelea vikao vyake leo Jumanne baada ya kukamilika kwa mapumziko ya muda mrefu. Bunge hilo linatarajiwa kushughulikia ripoti ya kamati ya pamoja...

Serikali kushirikiana na vyuo vikuu kuimarisha usalama wa chakula

0
Katibu katika Wizara ya Kilimo Dkt. Kipronoh Ronoh, amesema serikali itashirikiana na vyuo vikuu, wabunifu na sekta ya kibinafsi kuimarisha uwezo wa taifa hili...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS