Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1160 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto awateua wengine 10 kuwa Mawaziri

0
Rais William Ruto leo Jumatano amewateua watu wengine 10 kuwa mawaziri, juma moja baada ya kuteua nusu ya kwanza ya mawaziri. Mawaziri walioteuliwa ni pamoja...

Mshukiwa wa ulanguzi wa bangi akamatwa Nairobi

0
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa ulanguzi wa bangi aliyetoroka mtego wa polisi Julai 10, 2024 katika kaunti ya Kisii. Mshukiwa huyo alitoroka na kuacha...

Rono: Kenya ina chakula cha kutosha

Serikali imewahakikishia wananchi kwamba nchi hii ina akiba ya chakula cha kutosha kuwahimili Wakenya kwa muda mrefu. Akitoa hakikisho hilo, Katibu katika Wizara ya...

Mchezaji wa zamani wa Harambee Stars ashtakiwa kwa mauaji

0
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Collins Okoth Ougo almaarufu Gatusso, amefikishwa katika mahakama ya Milimani akikabiliwa na mashtaka...

IGAD kusaidia Mataifa wanachama kukabiliana na majanga

0
Shririka la IGAD, limeelezea kujitolea kwake kusaidia mataifa wanachama kukabiliana na majanga na pia kuzuia majanga hayo katika siku zijazo. Kupitia kwa taarifa, Katibu Mkuu...

Mkurugenzi wa Secret Service nchini Marekani ajiuzulu

0
Siku chache baada ya shambulio la risasi dhidi ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, Mkurugenzi wa idara ya Secret Service Kimberly Cheatle,...

Vijana wahimizwa kusitisha maandamano dhidi ya serikali

0
Naibu Rais Rigathi Gachaua amesema serikali imewasikiliza vijana, huku akiwahimiza waipe serikali muda kutekeleza matakwa yao. Akizungumza leo Jumamosi alipohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu kwa...

Washukiwa watano wa ulaghai wakamatwa Kitui

0
Afisa wa polisi ni miongoni mwa washukiwa watano waliokamatwa kwa kujisingizia kuwa maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC. Watano hao wanaaminika...

Rais wa Marekani Joe Biden ashikilia kuwa atawania Urais

0
Rais wa Marekani Joe Biden, ameshikilia kuwa atawania Urais wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao, licha ya miito ya kumtaka ajiuzulu. Hayo yanajiri huku...

KEMSA yampongeza Waziri wa Afya mteule Dkt. Deborah Barasa

0
Mamlaka ya kusambaza dawa na vifaa vya matibabu hapa nchini KEMSA, imempongeza Dkt. Deborah Mlongo Barasa kufuatia uteuzi wake kuwa Waziri wa Afya. Siku ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS