Tom Mathinji
KQ na Jambo Jet zafutilia mbali safari za ndege
Shirika la ndege la Kenya Airways, KQ na kampuni ya Jambo Jet zimetangaza kufutilia mbali safari zao za ndege, kufuatia mgomo unaoendelea wa wafanyakazi...
Maafisa wa DCI wamkamata mshukiwa wa ulaghai
Maafisa wa upelelezi wa maswala ya jinai DCI kutoka makao makuu ya Nairobi, wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, almaarufu Dan, nyumbani kwake mtaani Kimbo kwa...
AFCON 2025: Harambee Stars yaongoza kundi J baada ya kuilaza Namibia
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars ilifufua matumaini yake ya kufuzu kwa michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2025, baada ya kuilaza...
Kaunti ya Nairobi kujenga madarasa 114 mapya katika shule...
Serikali ya kaunti ya Nairobi , imetangaza mipango ya kujenga madarasa 114 mapya, kwenye taasisi za Chekechea (ECDE), katika wadi zote 85, ili kupunguza...
Shughuli zalemazwa katika viwanja vya ndege nchini
Abiria katika viwanja vya ndege hapa nchini, wametatizika kufuatia kuanza kwa mgomo wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya safari za angani (KAWU), kupinga ...
Wahudumu wa afya kaunti ya Meru wahimizwa kusitisha mgomo
Katibu wa kaunti ya Meru Dkt Kiambi Athiru, ametoa wito kwa wahudumu wa afya katika kaunti hiyo kusitisha mgomo wao, akihakikisha kuwa serikali ya...
Gachagua: Serikali inaunganisha sekta ya Jua Kali na ufadhidli wa kibiashara
Naibu rais Rigathi Gachagua amesema serikali inaratibu mfumo wa kwaunganisha wafanayakazi katika sekta ya jua kali walioidhinishwa na fursa za ufadhili wa kibiashara humu...
Idadi ya waliofariki katika ajali ya mashua Senegal yafika 26
Jeshi la wanamaji nchini Senegal, leo Jumanne limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya mashua siku ya Jumapili, imefika 26.
Ajali hiyo ilitokea...
Israel yashambulia Gaza kuwalenga makamanda wa Hamas
Takriban watu 13 wameuawa katika shambulio la Israel lililofanyika usiku katika eneo lililoteuliwa la amani kusini mwa Gaza, hospitali moja ya eneo hilo imesema.
Wakazi...
Dickson Ndiema aliyemchoma moto Rebecca Cheptegei amefariki
Dickson Ndiema anayedaiwa kumchoma moto mwanariadha raia wa Uganda Rebecca Cheptegei, amefariki.
Ndiema alifariki alipokuwa akitibiwa majeraha ya moto katika hospitali ya mafunzo na rufaa...