Tom Mathinji
Uchumi wa Kenya umeimarika, Baraza la Mawaziri laarifiwa
Rais William Ruto leo Alhamisi aliongoza mkutano wa Baraza la Mawaziri katika Ikulu ya Nairobi.
Katika mkutano huo, Baraza hilo lilifahamishwa kuwa uchumi wa taifa...
Idadi ya waliofariki kwenye ajali ya Kakamega yafika 13
Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya barabarani katika kituo cha kibiashara cha Iguhu, kaunti ya Kakamega yafika 13.
Gavana wa Kakamega Fernandez Barasa, alisema watu...
Achani: Serikali ya Kwale inaimarisha utoaji huduma bora za afya
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani, amesema serikali yake inajizatiti kuhakikisha wakazi wa kaunti hiyo wanapata huduma zilizoimarika za afya.
Achani alisema hayo yanaafikiwa...
Mvua kubwa kushuhudiwa maeneo ya Kati na Kusini mwa Kenya
Idara ya utabiri wa hali ya hewa, imetoa tahadhari kwamba maeneo ya kadhaa ya hapa nchini yatashuhudia kiwango kikubwa cha mvua kuanzia Alhamisi Novemba...
Mshukiwa wa wizi wa mtihani wa KCSE akamatwa Nakuru
Mmoja wa matapeli aliyekuwa akisakwa kwa madai ya kuhusika katika udanganyifu wa mtihani wa KCSE mwaka huu, Collins Kipchumba Kemboi ametiwa mbaroni katika eneo...
Wizara ya Kilimo yaweka mikakati kukabiliana na upungufu wa mchele
Wizara ya Kilimo imeweka mikakati kuhakikisha uzalishaji wa mchele unaongezeka hapa nchini na kupunguza uagizaji zao hilo kutoka nje.
Kulingana na wizara hiyo, taifa huhitaji...
Serikali imesambaza magunia milioni 16 ya mbolea ya bei nafuu
Serikali imesambaza magunia milioni 16 ya kilo 50 ya mbolea ya gharama nafuu, tangu ilipochukua usukani miaka miwili iliyopita.
Katibu katika wizara ya kilimo Dkt....
Dkt. Ronoh: Bei ya vyakula hapa nchini imepungua
Katibu katika wizara ya kilimo Dkt. Kiprono Ronoh, amesema taifa hili limeshuhudia upungufu mkubwa wa bei ya vyakula.
Akizungumza katika mahojiano na shirika la utangazaji...
Wito watolewa wa kuongezwa ufadhili kwa sekretarieti ya EAC
Makarani wa mabunge katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC wametoa wito wa kuongezwa ufadhili kwa sekretarieti ya jumuiya hiyo.
Wito huo ulioongozwa na...
Bangi ya thamani ya shilingi milioni 6 yanaswa Isiolo
Kikosi cha maafisa wa usalama kimenasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 6 katika kaunti ya Isolo.
Operesheni hiyo ilitekelezwa baada ya maafisa hao kupata...