Tom Mathinji
Kenya yasimamisha uagizaji sukari kutoka nje ya COMESA na EAC
Waziri wa kilimo Dkt. Andrew Karanja, amepiga marufuku uagizaji sukari kutoka mataifa yasiyo wanachama wa soko la pamoja la Kusini na Mashariki mwa Afrika...
Serikali yatakiwa kusimamisha uagizaji Macadamia kutoka nchi za nje
Chama cha wafanyabiashara wa bidhaa zinazotokana na zao la Macadamia, kimetoa wito kwa serikali kurejesha marufuku ya uagizaji nje wa zao hilo la Macadamia.
Kulingana na chama...
Washukiwa wawili waliokuwa na vilipuzi wakamatwa Kisii
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa wawili wakiwa na vifaa vinavyoshukiwa kuwa vilipuzi, katika kaunti ya Kisii.
Wilfred Chaha Mokami mwenye umri wa miaka 28 na ...
Madereva wa malori ya masafa marefu wahofia usalama wao
Madereva wa malori ya masafa marefu, wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama katika barabara kuu za Kisumu -...
Moto wazuka katika shule ya upili ya wasichana ya Isiolo
Moto umezuka katika bweni moja la shule ya upili ya wasichana ya Isiolo, Jumamosi usiku.
Chanzo cha moto huo hakijabainishwa, lakini shirika la msalaba mwekundu...
Muthoni: vifaa zaidi vya matibabu vimepelekwa kaunti ya Nyeri
Wizara ya afya imesema itatoa vifaa vya matibabu vinavyohitajika, katika hatua ya kushughulikia waathiriwa wa mkasa wa moto uliotokea katika shule ya Hillside Endarasha...
Raia 8 wa kigeni wakamatwa Trans Nzoia
Raia 8 wa kigeni wamekatwa na maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia.
Washukiwa hao wanaojumuisha raia wa Somalia...
Wataalam wapelekwa Hilliside Academy kuchunguza chanzo cha moto
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kikosi cha maafisa wa upelelezi kimebuniwa na kupelekwa katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, kuchunguza chanzo cha...
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha hawajulikani waliko
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, hawajulikani waliko baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni ya shule hiyo na kusababisha...
Serikali yatangaza siku 3 kuomboleza wanafunzi wa Hillside
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za kitaifa kuwaomboleza wanafunzi 18 wa shule ya Hillside Endarasha Nyeri, waliofariki katika mkasa wa moto.
Kupitia kwa taarifa...