Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1316 POSTS 0 COMMENTS

Raia 8 wa kigeni wakamatwa Trans Nzoia

0
Raia 8 wa kigeni wamekatwa na maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia. Washukiwa hao wanaojumuisha raia wa Somalia...

Wataalam wapelekwa Hilliside Academy kuchunguza chanzo cha moto

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kikosi cha maafisa wa upelelezi  kimebuniwa na kupelekwa katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, kuchunguza chanzo cha...

Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha hawajulikani waliko

0
Wanafunzi 70 wa shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri, hawajulikani waliko baada ya moto kuteketeza moja ya mabweni ya shule hiyo na kusababisha...

Serikali yatangaza siku 3 kuomboleza wanafunzi wa Hillside

0
Rais William Ruto ametangaza siku tatu za kitaifa kuwaomboleza wanafunzi 18 wa shule ya Hillside Endarasha Nyeri, waliofariki katika mkasa wa moto. Kupitia kwa taarifa...

Nitawashtaki Polisi, asema Bobi Wine

0
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, leo Ijumaa amesema chama chake kitashtaki idara ya polisi, baada ya kujeruhiwa katika makabiliano na maafisa hao...

Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua Ndung’u amefariki

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua Ndung’u, amefariki. Kupitia mtandao wa X, Rais William Ruto amemuomboleza naibu huyo Gavana, akimtaja kiongozi aliyejitolea kuwahudumia...

Wandayi: Wakenya watapata umeme wa gharama nafuu

0
Serikali inalenga kuimarisha mikakati yake ya kuhakikisha wakenya wanapata nguvu za umeme za kutegemewa, za kutosha na za bei nafuu, ili kuchochea ukuaji wa...

Justice Mrima achaguliwa kuwa mwanachama wa JSC

0
Justice Antony Mrima, amechaguliwa kuwa mwanachama wa tume ya kuwaajiri wahudumu wa idara ya mahakama nchini, JSC. Sasa Jaji huyo sasa atawakilisha chama cha Majaji...

Wanafunzi 16 wa shule ya Hillside Endarasha wafariki katika mkasa wa moto

0
Takriban wanafunzi 16 wameripotiwa kufariki baada ya moto kuteketeza  moja ya mabweni katika shule ya Hillside Endarasha katika Kaunti ya Nyeri. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa wanafunzi...

OPEC: Muda wa kupunguza usambazaji mafuta kuongezwa

0
Nchi nane wanachama wa mataifa yanayozalisha mafuta, leo Alhamisi zimekubaliana kuongeza muda uliopo wa kupunguza usambazaji wa bidhaa za mafuta hadi mwishoni mwa mwezi...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS