Tom Mathinji
Vikosi vya usalama vyarejesha utulivu kaunti ya Tana River
Vitengo vya usalama kanda ya Pwani vimeimarisha juhudi za kurejesha hali ya utulivu katika kaunti ndogo za Bangale na Tana Kaskazini, kaunti ya Tana...
Seneti kusikiliza mashtaka ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua
Spika wa bunge la Senetei Amason Kingi ameitisha kikao cha bunge hilo leo Jumatano asubuhi, kusikiliza mashtaka ya kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Kupitia...
Barasa: Huduma za afya zinatolewa chini ya mpango wa SHA
Waziri wa afya Dkt. Deborah Mlongo Baraza amewahimiza wakenya kuendelea kutembelea vituo vya afya, akihakikishia umma kwamba huduma za afya sasa zinatolewa chini ya...
Serikali ya Kakamega kushirikiana na USAID kwa miradi ya Maendeleo
Serikali ya kaunti ya Kakamega, imesema itaimarisha ushirikiano wake na shirika la kimataifa la misaada la Marekani USAID, kutekeleza miradi ya maendeleo katika eneo...
Seneti Kujadili hoja ya kumbandua Gavana wa Kericho juma lijalo
Bunge la seneti litajadili hoja ya kumuondoa mamlakani Gavana wa Kericho Eric Mutai juma lijalo.
Seneti imetenga Oktoba 14 na 15, kuwa tarehe za kusikiza...
Wabunge wanawake waapa kuunga mkono hoja ya kumbandua Gachagua
Zaidi ya Wawakilishi kumi wa Wanawake wamesema watapiga kura ya kuunga mkono kuondolewa mamlakani kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua siku ya Jumanne,katika bunge la...
Cissy Houston ambaye ni mamake Whitney Houston amefariki
Cissy Houston, mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili na mamake Whitney Houston, amefariki dunia Jumatatu asubuhi akiwa na umri wa miaka 91, familia yake...
Mvuvi auawa na kundi hasimu Ziwa Victoria
Mvuvi mwenye umri wa miaka 23 Jacob Odira, ameuawa kufuatia mzozo wa eneo la uvuvi katika Ziwa Victoria.
Odira alifariki karibu na ufuo wa Lela...
Maafisa wa usalama wapelekwa kudumisha amani Tana River
Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema maafisa wa asasi za usalama wamepelekwa katika kaunti ya Tana River kudumisha amani, siku chache baada ya...
Rais Ruto: Wakenya zaidi watapata ajira nchini Qatar
Rais William Ruto amesema kuwa Wakenya zaidi watapat fursa ya kufanya kazi nchini Qatar, punde tu mkataba wa maelewano kati ya nchi hizo mbili...