radiotaifa
Jitegemee: Je, Usajili wa Walio na Ulemavu umewafaidi walengwa ?
Usajili wa watu walio na ulemavu ni mwongozo ulioainishwa kwenye sheria ya watu walio na ulemavu ya mwaka 2003. Aidha pamekuwepo na changamoto mbalimbali...
Matukio ya Taifa: Muungano wa Madaktari KMPDU walalama, Wizara haiwasikizi
Muungano wa madaktari nchini KMPDU umemelamikia jinsi wizara ya afya haijakuwa ikiwapa sikio katika lalama ambazo wamekuwa wakiziwasilisha kwao. Madaktari hao chini ya muungano huo...
Uchumi na Biashara: KRA yakosa kuafiki malengo yake ya faida
Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini, KRA ilikosa kuafiki malengo yake ya faida ya kiwango cha ushuru wa ziada katika kipindi cha miezi saba iliyopita...
Matukio ya Taifa: Sababu zinazolemaza serikali za kaunti zatajwa
Ukosefu wa mipangilio, uzembe miongoni mwa maafisa wa kaunti sawa na mianya ya ufisadi imetajwa kama sababu zinazolemaza serikali za kaunti kutumia mgao wa...
Matukio ya Taifa: Wakazi wa Mundika kaunti ya Busia walilia Serikali
KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..
Wakaazi wa eneo la Mundika huko Busia waitaka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kutengeneza njia mbadala...
Matukio ya Taifa: Wanafunzi wahimizwa kusomea masomo yanayowawezesha kupata Ajira
KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..
1.Ruto asema kuwa serikali imeanza kutekeleza mfumo wa kutatua kikamilifu athari za mabadiliko ya tabia nchi
2. Kiongozi wa muungano...
Matukio ya Taifa: Raila awataka wafuasi wake kutoingiwa na wasi wasi...
KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..
Serikali yaombwa kuondoa ushuru wa dawa za kukabiliana na makali ya magonjwa sugu kama hatua ya kupunguza gharama...
Jitegemee: Vyama vya wafanyakazi vina nafasi gani katika kutetea maslahi ya...
Vyama vya wafanyakazi vina nafasi gani katika kutetea maslahi ya wafanyakazi? Ni suala ambalo wengi hawalifahamu kiundani ila Bwana Samuel Maticha ambaye ni naibu...
Matukio ya Taifa: Upinzani waunga mkono azma ya Raila Odinga kuwa...
Hujambo msikilizaji na karibu katika makala yetu ya kila siku ya matukio ya Taifa; Miongoni mwa taarifa tuliokuandlia ni;
Upinzani kuunga mkono azma ya...
Matukio ya Taifa: Bodi ya Kudhibiti Tumbaku nchini kurekebisha Sheria ya...
Bodi ya Kudhibiti Tumbaku nchini kurekebisha Sheria ya Kudhibiti bidhaa hiyo
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/32ea6c17-af12-4598-90c1-bfa1bcfae1cf