radiotaifa
Umuhimu wa siku ya Jumapili ya Mitende
Siku ya mitende huadhimishwa duniani kote na wakristo wote hususan wakatoliki. Jumapili ya mitende ni ile juma pili inakuja kabla ya jumapili ya pasaka.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/fa7475d8-7dd9-4aab-8134-0573cc9d45a4
Biashara Wiki Hii: Aiskrimu isiyo ya sukari, yaani lactose ina faida...
Je, aiskrimu isiyo ya sukari almaarufu lactose ina faida gani kwa mwananchi yeyote yule?
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/c8f8cbaa-5dee-43a9-a54c-b9f0b86eb3c7
Matukio ya Taifa: Komesheni uhasama wa kisiasa, Raila Odinga awashauri viongozi...
Kinara wa azimio raila odinga amewataka viongozi waliochaguliwa kwenye kaunti kukomesha uhasama wa kisiasa na badala yake kuungana kuwavutia waekezaji kama njia ya kuinua...
Matukio ya Taifa: Serikali yawataka madaktari kuwa na Subra, matakwa yao...
Serikali imewataka madaktari kuwa na subira huku ikiahidi kutimiza sehemu yake ya makubaliano ya kuajiri zaidi ya madaktari 3,500 wanaohudumu kwa kandarasi kuanzia Aprili...
Mali Shambani: Gunia maalum almemaarufu hertic bag la kuhifadhia nafaka
Kipindi hiki kinaangazia gunia maalum linalojulikana kama hermetic bag ambalo hutumika kuhifadhia nafaka kwa zaidi ya miaka mitano.
https://art19.com/shows/kilimo-imara/episodes/c38b6981-59b7-4f1d-b6de-b18bc3dce1b4
Matukio ya Taifa: Afisa wa Polisi auawa na watu wasiojulikana Rarienda
Afisa mmoja wa polisi ameuwawa kwa kupigwa kwa Bastola huku mwenzake akiponea chupu chupu na majeraha mwilini baada ya kuvamiwa na Watu wasiojulikana wakati...
Matukio ya Taifa: Baa zafungwa na wamiliki kukamatwa Elgeyo Marakwet
Baa kadhaa zimefungwa na wamiliki wake kukamatwa na kufikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka huku serikali ikizidisha vita dhidi ya pombe haramu Kaunti ya Elgeyo...
Pepea Mashariki: Jumuiya ya Afrika Mashariki yashinikiza mshikamano na umoja kati...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeeleza nia na madhumuni yake ya kuunganisha nchi wanachama na kuhakikisha kuna amani na utulivu. Hata Hivyo katibu katika wizara...
Uchumi na Biashara: Idhini iwapo benki zitwae mali ya mteja kujulikana...
Muungano wa mabenki umepinga pendekezo hilo mbele ya majaji Olga Sewe, Gregory Mutai, na Kizito Magare mjini Mombasa kwa kile wanadai uhusiano wa mteja...
Uvumbuzi na Teknolojia: Teknolojia ya kisasa imebadilisha sekta ya afya kwa...
Ujio wa teknolojia ya kisasa unaendelea kubadilisha namna sekta ya afya inavyofanya kazi. Mvumbuzi Maxwell Githinji kutoka Creswave Ltd ametengeneza ametengeneza mfumo wa programu...