radiotaifa
Zinga: Maridhiano ni muhimu kwa maendeleo ya taifa, asema mbunge wa...
Mbunge wa Bomachoge Borabu Obadiah Barongo amesema uwiano wa taifa hili ni muhimu katika kuendeleza na kuimarisha uchumi wake.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/7db33cff-a29d-4b96-8937-53c2877b0c9c
Akiongea hii leo na Radio Taifa,...
Dunia Wiki Hii: Nchi kadhaa zaendelea kuathirika kutokana na joto kali
Sehemu kubwa ya kaskazini mwa dunia inaathirika kutokana na joto kali linalotishia afya ya watu na pia kusababisha majanga ya kimaumbile.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/42510c90-37c9-46e6-aee6-9c27f540c4b1
Matukio ya Taifa: Watu sita wajeruhiwa Lamu baada ya shambulizi la...
Watu zaidi ya sita wamejeruhiwa kufuatia shambulizi la kigaidi eneo la nyongiro katika barabara ya witu kuelekea Garseni alfajiri ya kuamkia leo.
Shirikisho la Mpira wa Wavu Nchini lapongezwa
Wachezaji wa zamani wa mpira wa wavu wamepongeza hatua ya Shirikisho la Mpira wa Wavu Nchini kuelekeza mashindano ya mchezo huo mashinani.
Wakizungumza kwenye fainali...
Mahakama ya Ulaya yamuunga mkono Semenya katika vita dhidi ya ubaguzi
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) imekubali rufaa ya mwanariadha wa Afrika Kusini, Caster Semenya, dhidi ya shirika la kimataifa linalosimamia riadha.
Mahakama...
Mabaki ya binadamu yaaminika kupatikana katika vifusi vya nyambizi ya Titan...
Mabaki ya binadamu yanaaminika kupatikana ndani ya mabaki ya nyambizi Titan, Jeshi la Walinzi wa Pwani la Marekani linasema.
Vipande kutoka kwa nyambizi hiyo ndogo,...