radiotaifa
Matukio ya Taifa: Magavana watishia kuwapiga kalamu madaktari wanaogoma
Baadhi ya magavana humu nchini wametishia kuwafuta kazi madaktari ambao wanaendelea na mgomo wao ambao umeingia siku ya 30 hii leo. Hata hivyo madaktari...
Matukio ya Taifa : Mkuu wa wauguzi Nairobi asema majukumu yameongezeka...
Mkuu wa wauguzi tawi la Nairobi Boaz Onchari amesema wauguzi humu nchini wana mzigo mkubwa wa kuwashughulikia wagonjwa hasa wakati huu madaktari wanapoendelea na...
Zinga: Wauguzi hawajagoma, mkuu wa wauguzi Nairobi atoa hakikisho
Mkuu wa wauguzi hapa jijini Nairobi amepuuzilia mbali taarifa kwamba wauguzi wangeungana na madaktari katika kuishinikiza serikali kutimiza matakwa yao. Boaz Onchari amesema hakuna...
Zinga: Kuwasherehekea na kuwatambua mashujaa wa Imani
Wakfu wa Heroes and Heroines unatazamia kuwasherehekea wakristu na waumini waliohudumu kwa muda mrefu na ambao kujitolea kwao katika safari ya mahubiri kumegusa maisha...
Matukio ya Taifa: Msemaji wa serikali asema mgomo wa madaktari ni...
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amewataka madaktari kurejea kazini na kusitisha mgomo wao ambao umeingia wiki ya tatu akisema kuwa mgomo huo ni kinyume...
Zinga: Serikali bado haijajitolea kumaliza mgomo wa madaktari asema Seneta Hamida
Seneta Mteule wa chama cha ODM Hamida Kibwana ameelezea kusikitishwa kwake na kimya cha serikali kuhusiana na mgomo unaendelea wa madaktari. Akizungumza leo na...
Matukio ya Taifa: Mshukiwa wa wizi ateketezwa hadi kufa Matungulu, Machakos
Mshukiwa mmoja wa wizi wa kimabavu ameuwawa kwa kuketezwa na wananchi waliokuwa na ghabhabu baada ya kupatikana akiiba kwenye kanisa moja huko Ngonda, eneo...
Jitegemee: Dhuluma za kimapenzi dhidi ya wanawake kazini
Haki ya ajira kazini ni suala muhimu katika jamii. Hata hivyo, ni wazi kwamba wanawake wengi bado wanadhulumiwa kazini, dhuluma ya kimapenzi ikiongoza kwenye...
Matukio ya Taifa: Wanabiashara Gatunga, Tharaka Nithi wagoma kulipa kodi
Wafanyabishara katika wadi ya Gatunga kaunti ya Tharaka Nithi wametangaza kususia kulipa kodi kwa serikali ya kaunti hiyo kwa madai kwamba serikali hiyo haijakuwa...
Matukio ya Taifa: Wakulima wasiojiweza Bungoma wasaidiwa kupata mbolea
Serikali ya Bungoma imeanzisha mpango wa kuwapa wakulima wasiojiweza mbolea na mifuko ya mahindi tayari kwa msimu wa upanzi. Hadi kufikia sasa, takribani wakulima...