radiotaifa
Wizara ya Afya yakagua vituo 808 vya matibabu nchini
Jumla ya vituo 808 vya afya vimehesabiwa kwenye sensa inayoendelea ya vituo vya afya nchini iliyoanza siku ya Jumatatu.
Wizara ya Afya inataka kuboresha utoaji...
KTCPA yapongeza mpango wa lishe shuleni
Chama cha wakuu wa vyuo vya mafunzo kwa walimu nchini (KTCPA), kimeelezea imani yake kwamba mpango wa utaoji lishe kwa wanafunzi shuleni unaoungwa mkono...
Polisi wanasa mihadarati aina ya Cocaine Jijini Nairobi
Majasusi wamepata mihadarati inayoshukiwa kuwa Cocaine, kwenye msako unaoendelea dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya jijini Nairobi.
Kwenye oparesheni iliyotekelezwa mtaani Buru Buru...
Zinga: Vijana washauriwa kuwa wabunifu
Vijana wameshauriwa kuwa makini katika kozi wanazoenda kuzisomea katika vyuo vikuu na kuzielewa vyema ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/59d68c7d-65ab-4833-94ec-5901943f3efd
Maafisa wa polisi kutoa ulinzi katika viwanda vya kahawa
Serikali itawapeleka maafisa wa polisi katika viwanda vyote vya kahawa hapa nchini, kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya wizi wa zao hilo, hayo ni kwa...
EPRA yarejesha ruzuku kwa bidhaa za mafuta
Bei za mafuta hazijaongezwa kwenye tathmini ya kila mwezi ya Halmashauri ya Kudhibiti Bei za Nishati na Mafuta, EPRA.
Hii inafuatia tangazo la juzi Jumapili...
Mahakama ya Juu kutoa mwelekeo kuhusu sheria ya fedha Agosti 28
Mahakama ya Juu tarehe 28 mwezi huu itatoa mwelekeo kwenye kesi iliyowasilishwa na Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah ya kupinga agizo la...
Mudavadi: Mazungumzo ya pande mbili yataangazia maswala ya wakenya
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amewahakikishia wakenya kwamba mazungumzo baina ya serikali na upinzani yataangazia masuala yanayowaathiri wakenya na wala sio mkataba wa...
Serikali kutumia teknolojia kuimarisha ubora wa elimu
Serikali imepanga kutumia kikamilifu teknologia ya habari , mawasiliano ili kuimarisha upatikanaji na ubora wa elimu kwa wanafunzi.
Akizungumza alipokutana na mkurugenzi mkuu wa...
Zinga: Hatua Kenya ilizopiga kudhibiti magaidi ni hizi
Kanali mstaafu Geoffrey Gitonga amesema taifa hili limepiga hatua kubwa katika kudhibiti makundi ya kigaidi, ambayo yamekuwa tishio kwa usalama wa mataifa mengi barani...