radiotaifa
Zinga: Kwa nini pendekezo la kuzuia magavana wasigombee viti vya siasa...
Mchambuzi wa masuala ya siasa Martin Andati anasema kuwa pendekezo la seneta mteule Chimera Mwinzagu la kuwazuia magavana waliohudumu katika wadhifa huo kutogombea tena...
‘Mathe wa Ngara’ Nancy Kigunzu kuzuiliwa kwa siku tano zaidi
Mfanyabiashara Nancy Kigunzu Indoveria almaarufu ‘Mathe wa Ngara’ aliyekamatwa siku ya Jumatatu kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya, amefikishwa mahakamani leo Jumatano.
Hakimu...
Matukio ya Taifa: Ajali ya barabarani yaua mmoja na kujeruhi saba...
Abiria mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kuhusika katika ajali kwenye barabara kuu ya Bondo-Kisumu leo asubuhi.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/fa767ed4-0312-4c74-aad5-bc05c8b1b5bb
Jamii ya Maa yapongezwa kwa kudumisha utamaduni
Rais William Ruto ameipongeza jamii ya wamaasai kwa kujitolea kudumisha utamaduni wao pamoja na mazingira.
Akiongea Jumanne alipofungua rasmi tamasha la kitamaduni la jamii...
Dorcas Rigathi: Ipo haja ya kuangazia haki za mtoto wa kiume
Mke wa naibu rais mhubiri Dorcas Rigathi ametoa wito kwa viongozi wakiwemo wale wa kidini kuangazia maslahi ya mtoto wa kiume na vijana.
Dorcas...
KPA yashutumiwa kwa kutozingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili
Halmashauri ya bandari nchini, KPA haijazingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili katika uajiri wa wafanyakazi wake kulingana na ripoti ya kamati ya bunge...
Serikali yatetea hatua ya kuwapeleka wauguzi Uingereza
Serikali imetetea uamuzi wake wa kuwapeleka wahudumu wa afya wa Kenya kufanya kazi nchini Uingereza.
Akiitetea hatua hiyo, Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema...
Zinga: Mazungumzo yanayoendelea yaibua hisia mseto miongoni mwa wachanganuzi wa masuala...
Wachambuzi wa masuala ya siasa wameendelea kutoa hisia mseto kuhusiana na mazungumzo yanayoendelea kati ya upinzani na serikali. Wakiongozwa na Gibson Gisore na David...
Daktari wa Redio: Janga la VVU tishio kwa wanaume na vijana...
Ongezeko la maambukizi ya virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana na wanaume laibua wasiwasi wa chamko la ugonjwa huo nchini.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/ae21d678-c901-4c57-ae5c-039682432da0
Kenya na Ethiopia kutatua mizozo ya mpakani
Serikali za Kenya na Ethiopian zimeazimia kufanya kazi kwa pamoja ili kushughulikia kikamilifu mizozo ya mpakani siku za usoni.
Haya yanajiri baada ya taharuki ya...