radiotaifa
Zinga: Mwanaharakati wa mazingira aisihi jamii ihusike katika utunzi wa mazingira
Mwanaharakati Philip Dinga amesihi waandalizi wa Kongamano la Afrika Kuhusu Tabia Nchi kuhusisha jamii katika maswala ya mabadiliko ya tabia nchi na kuyapa kipaumbele...
Daktari wa Radio: Aina nyingine ya mbu anayesababisha malaria, tishio katika...
Ujio wa aina nyingine ya mbu anayesababisha ugonjwa wa malaria, unatishia vita dhidi ya kumaliza ugonjwa huo kufikia mwaka 2030. Humu nchini, kuna takribani...
Zinga: Ufadhili wa elimu ya juu
Afisa Mkuu Mtendaji wa bodi ya kufadhili elimu ya juu humu nchini Charles Ringera amesisitiza kwamba mfumo mpya wa kufadhili masomo ya vyuo vikuu...
Afisa wa zamani wa KDF ashtakiwa kwa kuchapisha habari za kupotosha
Afisa mmoja wa zamani wa vikosi vya ulinzi vya Kenya (KDF), siku ya Jumatatu alifikishwa katika mahakama ya milimani akikabiliwa na mashtaka matano ya...
Zinga: Kenya inafaa kufanya nini kukuza riadha humu nchini ?
Licha ya kufanya vizuri katika mashindano ya riadha ya dunia huko Budapest Hungary, Kocha Mwaniki anahisi kama taifa tunaweza tukawahimarisha wana riadha wetu hata...
Mkurugenzi Mkuu wa halmashauri ya KAA atimuliwa
Serikali imesitisha kandarasi ya mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya viwanja vya ndege nchini, Alex Gitari.
Hii ni kufuatia kukatizwa kwa nguvu za umeme katika...
Ugavi wa mapato ya mbuga za wanyapori na serikali za kaunti...
Muungano wa wataalamu wa uhifadhi wa wanyamapori, umelipokea vyema agizo la Rais William Ruto, kuhusiana na ugavi wa mapato yanayotoka kwenye mbuga za wanyamapori...
Safari za ndege za uchukuzi wa mizigo zarejelea katika uwanja wa...
Safari za ndege za uchukuzi wa shehena hadi kwenye uwanja wa ndege wa Eldoret, zimerejelewa huku mawaziri wawili wakitoa hakikisho kwamba serikali inaratibu mikakati...
Huduma za kupachika Figo kupatikana katika hospitali ya chuo Kikuyu Cha...
Hospitali ya rufaa ya chuo kikuu cha Kenyatta inaweka mikakati ya kuzindua huduma za upasuaji wa kupachika figo.
Hatua hiyo inalenga kuwaokolea wakenya mamilioni ya...
Viongozi wa Baringo waazimia kushirikiana ili kukuza maendeleo
Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo wamedhamiria kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana wakati huu ambapo serikali inaendeleza kampeni za amani kwenye maeneo ambayo...