Home Authors Posts by radiotaifa

radiotaifa

radiotaifa
197 POSTS 0 COMMENTS

Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara

0
Katika hotuba yake wakati wa sherehe za 59 za Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi, Rais Ruto alimwagiza Waziri...

Matukio ya Taifa: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa mchango wa shilingi...

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametuma risala zake za rambi rambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao kwenye mkasa wa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa nchini. Kulingana na...

Biashara Wiki Hii: Bodi ya NCPB yaanza shughuli ya kulipa fidia...

0
Wakulima walioathirika wanatakiwa kuwasilisha malalamishi rasmi na kujaza Fomu zinazostahili ili kwenye kituo walichonunua mbolea ya bei nafuu. https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/6e283cfa-becc-4c70-b094-dba1def974db

Zinga: Umuhimu wa Chanjo katika afya ya mwanadamu

0
Chanjo zimesaidia kuokoa maisha mamilioni ya watu duniani kote katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, zimekuwa ni hakikisho kwa makuzi salama ya watoto na...

Zinga: Walioidhinisha ujenzi wa nyumba kwenye njia za mito wachukuliwe hatua,...

0
Mtaalamu wa majanga Pius Masai Mwachi ametaka serikali kuwachukulia hatua kali, maafisa wa umma ambao waliidhinisha ujenzi wa majengo/nyumba kwenye njia za mito ambazo...

Zinga: Mwelekeo wa Siasa za chama cha ANC ni Upi ?

0
Licha ya siasa za muungano wa Kenya Kwanza kwamba vyama tanzu vya muungano huo vivunjiliwe mbali, mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha ANC Kelvin...

Matukio ya Taifa: Mvua ya gharika yasababisha vifo na majanga

0
Wakazi katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Nairobi wameathiriwa vibaya na mafuriko yanayoendelea, Hali inayolemaza shugli zao za kila siku. Haya yanajiri siku moja tu...

Zinga: Viwango vya mafunzo ya udereva nchini viko chini, Alfayo Otuke

0
Kulingana na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani Alfayo Otuke, Asilimia 30 ya madereva wako na leseni bandia za kuendesha gari, na kwamba Viwango...

Daktari wa Radio: Ugonjwa wa Kisukari wakati wa Ujauzito una athari...

0
Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito ni mojawapo wa sababu kuu za magonjwa na vifo miongoni mwa wanawake wenye ujauzito ulimwenguni kote. Kwenye kipindi...

Zinga: Wengi wa waathiriwa wa machafuko ya baada ya Uchaguzi wa...

0
Kulingana na Leah Aoko kutoka shirika la Utu Wetu ambalo linafanya kazi la kuwashughulikia wahanga wa machafuko ya baada uchaguzi , waathiriwa wengi wanaishi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS