radiotaifa
Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara
Katika hotuba yake wakati wa sherehe za 59 za Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi, Rais Ruto alimwagiza Waziri...
Matukio ya Taifa: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa mchango wa shilingi...
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametuma risala zake za rambi rambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao kwenye mkasa wa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa nchini. Kulingana na...
Biashara Wiki Hii: Bodi ya NCPB yaanza shughuli ya kulipa fidia...
Wakulima walioathirika wanatakiwa kuwasilisha malalamishi rasmi na kujaza Fomu zinazostahili ili kwenye kituo walichonunua mbolea ya bei nafuu.
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/6e283cfa-becc-4c70-b094-dba1def974db
Zinga: Umuhimu wa Chanjo katika afya ya mwanadamu
Chanjo zimesaidia kuokoa maisha mamilioni ya watu duniani kote katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, zimekuwa ni hakikisho kwa makuzi salama ya watoto na...
Zinga: Walioidhinisha ujenzi wa nyumba kwenye njia za mito wachukuliwe hatua,...
Mtaalamu wa majanga Pius Masai Mwachi ametaka serikali kuwachukulia hatua kali, maafisa wa umma ambao waliidhinisha ujenzi wa majengo/nyumba kwenye njia za mito ambazo...
Zinga: Mwelekeo wa Siasa za chama cha ANC ni Upi ?
Licha ya siasa za muungano wa Kenya Kwanza kwamba vyama tanzu vya muungano huo vivunjiliwe mbali, mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha ANC Kelvin...
Matukio ya Taifa: Mvua ya gharika yasababisha vifo na majanga
Wakazi katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Nairobi wameathiriwa vibaya na mafuriko yanayoendelea, Hali inayolemaza shugli zao za kila siku.
Haya yanajiri siku moja tu...
Zinga: Viwango vya mafunzo ya udereva nchini viko chini, Alfayo Otuke
Kulingana na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani Alfayo Otuke, Asilimia 30 ya madereva wako na leseni bandia za kuendesha gari, na kwamba Viwango...
Daktari wa Radio: Ugonjwa wa Kisukari wakati wa Ujauzito una athari...
Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito ni mojawapo wa sababu kuu za magonjwa na vifo miongoni mwa wanawake wenye ujauzito ulimwenguni kote. Kwenye kipindi...
Zinga: Wengi wa waathiriwa wa machafuko ya baada ya Uchaguzi wa...
Kulingana na Leah Aoko kutoka shirika la Utu Wetu ambalo linafanya kazi la kuwashughulikia wahanga wa machafuko ya baada uchaguzi , waathiriwa wengi wanaishi...