Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
827 POSTS 0 COMMENTS

Kenya, Africa CDC kushirikiana kuboresha mfumo wa afya

0
Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa barani Afrika, Africa CDC ni rasilimali muhimu na mshirika kwa afya ya umma humu nchini na kote barani humo. Rais...

Azimio: Maandamano ya wiki hii yangalipo

0
Muungano wa Azimio umesisitiza kuwa maandamano yaliyoratibiwa kufanyika juma hili yataendelea kama ilivyopangwa. Muungano wa Azimio umeitisha maandamano siku za Jumatano, Ahamisi na Ijumaa kulalamikia...

Kenya Kwanza, Azimio zatakiwa kujadiliana

0
Kamati ya Ushirikiano wa Vyama vya Kisiasa, PPLC imetoa wito wa kufanywa kwa majadiliano ili kumaliza mivutano ya kisiasa nchini.  PPLC inasema ubabe wa kisiasa...

Rais Ruto: Maandamano hayatafanyika wiki ijayo

0
Rais William Ruto amesema serikali yake haitakubali maandamano yoyote kufanyika nchini wiki ijayo. Kauli zake zinawadia wakati ambapo muungano wa Azimio umetangaza kuwa utafanya maandamano...

Ruto: Afrika inapaswa kuunga mkono benki ya Afrexim

0
Rais William Ruto amesema Afrika inapaswa kuunga mkono benki ya African Export–Import, Afrexim. Amesema Kenya inashukuru kutokana na ushirikiano ambao imekuwa nao na benki hiyo,...

Kenya yaboresha mazingira kuvutia wawekezaji

0
Kenya imeboresha mazingira yake ya kibiashara na kisheria ili kuhakikisha uwekezaji na haki ya kumiliki mali vinalindwa ipasavyo. "Hatua hizi za kimkakati hatimaye zitaifanya Kenya...

Mapato ya KRA yaongezeka kwa asilimia 6.7 hadi shilingi trilioni 2.1

0
Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Nchini, KRA imesema ilikusanya shilingi trilioni 2.17 katika kipindi cha mwaka mmoja hadi Juni 30, 2023. Hilo ni ongezeko la...

Azimio yatangaza siku tatu za maandamano kuanzia Jumatano wiki ijayo

0
Muungano wa Azimio umebadili mwelekeo na sasa unasema utafanya maandamano kwa siku tatu mtawalia wiki ijayo. Muungano huo ulikuwa umetangaza jana Alhamisi kuwa utafanya maandamano...

Watu 312 wakatamatwa kuhusiana na maandamano yenye vurugu

0
Watu 312 wamekamatwa kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa jana Jumatano wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa Azimio. Mbunge wa Mavoko Patrick Makau ni miongoni...

Kenya itawalinda wawekezaji, asema Rais Ruto

0
Serikali inabuni mazingira bora yatakayovutia uwekezaji wa kigeni humu nchini Rais William Ruto amesema serikali yake pia itaboresha sera zake ili kuzifanya ziwezeshe utendakazi...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS