Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
837 POSTS 0 COMMENTS

Kamati ya bunge mbioni kusuluhisha matatizo ya ardhi Kilifi

0
Juhudi za kutafuta suluhu ya mizozo ya ardhi katika kaunti ya Kilifi zimechacha huku kamati ya bunge la taifa ya kushughulikia malalamishi ya umma...

Mchungaji Dorcas Rigathi aitembelea Israel

0
Mkewe Naibu Rais, Mchungaji Dorcas Rigathi amefanya ziara nchini Israel ili kukadiria na kujifunza baadhi ya njia bora za kuwarekebisha tabia na kuwatibu waraibu...

Afrika inapaswa kujikomboa kutoka minyororo ya vikwazo vya maendeleo na umaskini

0
Bara la Afrika linapaswa kujikomboa kutoka kwenye taasisi za kifedha ambazo zimelilemaza kutokana na madeni. Hii hasa wakati huu ambapo kuna rasilimali chache na mdororo...

Serikali ya kaunti ya Kilifi yaomboleza kifo cha afisa wake

0
Serikali ya kaunti ya Kilifi imeelezea masikitiko yake kutokana na kifo cha Rahab Amani Karisa ambaye hadi kifo chake, alikuwa Afisa Mkuu aliyesimamia kitengo...

Waziri Mutua asema maandamano ya Azimio yamechochewa kisiasa

0
Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Alfred Mutua amesema maandamano yaliyoitishwa na upande wa upinzani yanadhamiria kuendeleza ajenda ya kisiasa. Na ingawa amesema muungano wa...

Ni lazima tuilinde demokrasia yetu, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto ameutaka upinzani kukoma kuitumia vibaya demokrasia ya nchi kupitia maandamano yenye vurugu.  Amesema kifungu cha katiba kinachoruhusu maandamano sharti kitekelezwe kwa amani...

Kenya yakosoa kauli za Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN

0
Kenya imekosoa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamuu ya Umoja wa Mataifa, UN kuhusiana na maandamano yanayoendelea nchini humo.  Kupitia msemaji wake Jeremy...

Maaskofu wa Kanisa Katoliki: Rais Ruto na Raila wanapaswa kuzungumza

0
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wametoa wito kwa Rais William Ruto na kinara wa upinzani Raila Odiinga kulegeza misimamo yao mikali na kushiriki meza ya...

Usalama waimarishwa nchini kabla ya maandamano ya Azimio

0
Hali ya usalama imeimarishwa kote nchini kabla ya maandamano yaliyopangwa na muungano wa upinzani, Azimio kufanyika. Hali ya utulivu pia imeshuhudiwa katika sehemu mbalimbali...

Fanya fujo uone, aonya Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome

0
Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS imeapa kuwa maandamano yoyote yatakayofanywa kesho Jumatano yatakabiliwa vikali kwa mujibu wa sheria. Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS