Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
827 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto kuanza ziara ya siku tano magharibi mwa nchi

0
Rais William Ruto ataanza ziara ya kikazi ya siku tano magharibi mwa nchi kuanzia kesho Jumamosi.  Rais Ruto atazuru kaunti za Busia, Bungoma, Vihiga, na...

Usajili wa watakaonufaika na mpango wa Inua Jamii kuanza Septemba 1

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali inaweka mikakati endelevu ya kusajili wazee na makundi yasiyojiweza katika jamii.  Amesema hii itasaidia kuokoa rasilimali za serikali katika...

Jaji Mkuu Martha Koome: Dhamira yetu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa...

0
Jaji Mkuu Martha Koome amekariri dhamira ya idara ya mahakama kuhakikisha watu wote wanapata haki kwa urahisi kila pembe ya nchi.  Na ili kudhihirisha azima...

Koskei awaonya maafisa wa manunuzi dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei ametoa onyo kali kwa maafisa wa manunuzi katika wizara na idara za serikali akiwataka kujiepusha na ufisadi.  Onyo...

Matayarisho ya Siku ya Mashujaa yaanza

0
Matayarisho ya maadhimisho ya 14 ya Siku ya Mashujaa yameanza kwa vishindo.  Siku ya Mashujaa huadhimishwa nchini kila Oktoba 20 na mwaka huu sherehe za...

Rais Ruto: Masoko mapya ya kisasa ni mazuri kwa biashara

0
Serikali itajenga masoko mapya 10 katika kaunti ya Nyandarua mwaka huu wa fedha.  Rais William Ruto amesema masoko hayo yatakuwa sehemu bora ya wafanyabiashara wadogo...

Waathiriwa wa shambulizi la bomu Nairobi hawajalipwa fidia, asisitiza Seneta Kavindu

Seneta wa kaunti ya Machakos Agnes Kavindu ameishutumu serikali ya Marekani kufuatia kauli zake za hivi karibuni kuwa iliwalipa fidia waathiriwa wa shambulizi la...

Angalau maafisa 4,000 kutoa usalama wakati wa Mkutano wa Tabia Nchi...

0
Maafisa wa usalama wasiopungua 4,000 watakaa chonjo kuhakikisha usalama wa wote watakaohudhuria Mkutano wa Tabia Nchi wa Afrika.  Mkutano huo utafanyika katika Jumba la Mikutano...

Rais Ruto afanya ziara ya kushtukiza JKIA

0
Rais William Ruto jana Jumatatu alifanya ziara ya kushtukiza katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta, JKIA.  Ruto alifika uwanjani hapo wakati akimuaga...

Magunia milioni 61 ya mahindi kuvunwa mwaka huu, asema Rais Ruto.

0
Idadi ya mahindi yanayotarajiwa kuvunwa mwaka huu kote nchini ni magunia milioni 61.  Hili litakuwa ongezeko la magunia milioni 17 ikilinganishwa na magunia milioni 44...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS