Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
741 POSTS 0 COMMENTS

Azimio yatangaza siku tatu za maandamano kuanzia Jumatano wiki ijayo

0
Muungano wa Azimio umebadili mwelekeo na sasa unasema utafanya maandamano kwa siku tatu mtawalia wiki ijayo. Muungano huo ulikuwa umetangaza jana Alhamisi kuwa utafanya maandamano...

Watu 312 wakatamatwa kuhusiana na maandamano yenye vurugu

0
Watu 312 wamekamatwa kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa jana Jumatano wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa Azimio. Mbunge wa Mavoko Patrick Makau ni miongoni...

Kenya itawalinda wawekezaji, asema Rais Ruto

0
Serikali inabuni mazingira bora yatakayovutia uwekezaji wa kigeni humu nchini Rais William Ruto amesema serikali yake pia itaboresha sera zake ili kuzifanya ziwezeshe utendakazi...

Kura ya maoni: Nchi imechukua mwelekeo mbaya

0
Asilimia 56 ya Wakenya wanaamini nchi hii imechukua mwelekeo mbaya. Hii ni kulinganisha na asilimia 48 ya Wakenya waliokuwa na maoni sawia mwezi Machi mwaka...

Waandamanaji watatiza usafiri barabara ya Nairobi Expressway

0
Baadhi ya huduma za ulipiaji ada kwenye barabara ya Nairobi Expressway zimesitishwa kwa muda baada waandamanaji wanaoshiriki maandamano yaliyoitishwa na kiongozi wa muungano wa...

Tamasha ya muziki yaahirishwa Nyanza kwa sababu ya maandamano

0
Tamasha ya muziki ya siku nne iliyoleta pamoja shule zote katika eneo la Nyanza na kuandaliwa katika kaunti ya Migori imeahirishwa. Hii ni kufuatia maandamo...

Chama cha Jubilee kuandaa mkutano wa wajumbe Agosti 7

0
Mkutano wa Kitaifa wa Wajumbe (NDC) wa chama cha Jubilee sasa utaandaliwa Agosti 7 katika ukumbi wa Bomas of Kenya.  Tangazo hilo limetolewa na Katibu...

Rais Ruto: Sitakubali Wakenya kufariki kwa sababu ya maandamano

0
Rais William Ruto amewahakikishia Wakenya kuwepo kwa amani kote nchini kesho Jumatano.  Muungano wa Azimio umepanga kufanya maandamano kote nchini Kesho Jumatano. "Kesho kutakuwa na amani...

Rais Raisi wa Iran sasa kuwasili nchini Jumatano

0
Rais wa Iran Ebrahim Raisi sasa atawasili humu nchini kesho Jumatano kwa ziara ya kitaifa.  Rais Raisi alikuwa amepangiwa kuwasili nchini leo Jumanne. "Ziara hiyo ilipaswa...

Chama cha KUP chatishia kumfurusha mbunge Pkosing

0
Chama cha Kenya Union Party (KUP) kimetishia kumfurusha mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing kama mwanachama na naibu kiongozi wa chama hicho.  Kiongozi wa chama...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS