Martin Mwanje
Serikali kufufua kampuni ya sukari ya Nzoia
Serikali itaunga mkono ufufuzi wa kampuni ya sukari ya Nzoia.
Rais William Ruto amesema serikali itaifadhili kampuni hiyo kupata vifaa vya kisasa vya utendakazi na...
Waziri Mutua: Kenya iko tayari kuandaa Mkutano wa Tabia Nchi wa...
Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Alfred Mutua amesema Kenya imejiandaa vilivyo kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tabia Nchi wa Afrika.
Mkutano huo wa siku...
KeNHA: Hatujalitenga eneo la Nyanza katika ujenzi wa barabara
Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Barabara Kuu Nchini, KeNHA imekanusha madai kuwa imelitenga eneo la Nyanza katika mipango yake ya ujenzi wa barabara.
Hii...
Walimu kuogelea kwenye hela kuanzia mwezi huu
Walimu katika shule za umma watapopokea nyongeza ya mshahara ya kuanzia asilimia 7 hadi 10 kama ilivyotangazwa na Rais.
Walimu wataanza kupokea nyongeza hiyo katika...
Maandamano ya vurugu hayatakubaliwa kamwe, asema Gachagua
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali haitakubali upinzani kufanya maandamano yoyote ya vurugu nchini akiongeza kuwa uharibifu wa mali ni jambo lisiloweza kuruhusiwa.
Gachagua...
Rais Ruto kuanza ziara ya siku tano magharibi mwa nchi
Rais William Ruto ataanza ziara ya kikazi ya siku tano magharibi mwa nchi kuanzia kesho Jumamosi.
Rais Ruto atazuru kaunti za Busia, Bungoma, Vihiga, na...
Usajili wa watakaonufaika na mpango wa Inua Jamii kuanza Septemba 1
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali inaweka mikakati endelevu ya kusajili wazee na makundi yasiyojiweza katika jamii.
Amesema hii itasaidia kuokoa rasilimali za serikali katika...
Jaji Mkuu Martha Koome: Dhamira yetu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa...
Jaji Mkuu Martha Koome amekariri dhamira ya idara ya mahakama kuhakikisha watu wote wanapata haki kwa urahisi kila pembe ya nchi.
Na ili kudhihirisha azima...
Koskei awaonya maafisa wa manunuzi dhidi ya ufisadi
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei ametoa onyo kali kwa maafisa wa manunuzi katika wizara na idara za serikali akiwataka kujiepusha na ufisadi.
Onyo...
Matayarisho ya Siku ya Mashujaa yaanza
Matayarisho ya maadhimisho ya 14 ya Siku ya Mashujaa yameanza kwa vishindo.
Siku ya Mashujaa huadhimishwa nchini kila Oktoba 20 na mwaka huu sherehe za...