Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
676 POSTS 0 COMMENTS

Hatima ya Naibu Gavana wa Siaya William Oduol kujulikana Juni 26

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol atajua iwapo atandelea kuhudumu katika wadhifa huo au la Jumatatu ijayo. Bunge la Seneti litaandaa kikao...

Tumewafedhesha wanamgambo wa Al-Shabaab, asema Waziri Duale

0
Waziri wa Ulinzi Aden Duale amewapongeza wahadhiri, wanafunzi na jamii kwa jumla kwa ujasiri wao na kwa kutokata tamaa hata baada ya kutokea kwa...

Ruto: Mfumo mpya wa fedha utasaidia dunia kushinda umaskini na mabadiliko...

0
Rais William Ruto amesema mfumo wa fedha unapaswa kuwa wenye usawa. Ameelezea kuwa rasilimali hazipaswi kudhibitiwa na Benki ya Dunia wala Shirika la Fedha Duniani,...

Naibu Gavana William Oduol: Kiti kugharimu shilingi milioni moja? Sikuhusika

0
Naibu Gavana wa Siaya William Oduol amekana kuhusika katika ununuzi wa kiti ambacho thamani yake inadaiwa kuwa shilingi milioni 1.12. Kiti hicho kilizua msisimko miongoni...

Azimio kuamua mwelekeo Jumanne baada ya Mswada wa Fedha kupitishwa bungeni

0
Muungano wa Azimio utaamua Jumanne ijayo, Juni 27, 2023 mwelekeo wa kuchukua baada ya jitihada zake za kupinga Mswada wa Fedha 2023 kuambulia patupu. Mswada...

Serikali yatoa shilingi bilioni 16.7 za Mpango wa Inua Jamii

0
Serikali imetoa shilingi bilioni 16.7 kwa zaidi ya watu milioni moja wanaonufaika na Mpango wa Uhamishaji Fedha wa Inua Jamii. Fedha hizo ni za kipindi...

Mapigano yaongezeka Khartoum wakati makubaliano ya kusitisha vita kwa siku tatu...

0
Mapiganao makali yalizuka kati ya makundi pinzani ya kijeshi katika baadhi ya sehemu za mji mkuu wa Sudan, Khartoum jana Jumatano, kwani makubaliano ya...

Watumishi wa umma waonywa dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema watumishi wa umma watawajibishwa kwa ubadhirifu wa rasilimali za umma katika idara zao. Koskei amesema serikali inakusudia...

Rejeeni vituoni au mkione cha mtema kuni, Dr. Omollo awaonya maafisa...

0
Maafisa wa utawala wa serikali wanaoendesha shughuli zao nje ya vituo vyao vya utendaji kazi wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kwa sababu...

Serikali kuwaajiri wahamasishaji wa afya ya jamii 103,000

0
Serikali itawaajiri wahamasishaji wa afya ya jamii 103,000 katika hatua ambayo itasaidia kuokoa maisha na rasilimali. Rais William Ruto amesema wahamasishaji hao watapewa vifaa tiba...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS