Martin Mwanje
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga atua Homa Bay
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga leo Ijumaa asubuhi aliwasili katika kaunti ya Homa Bay na kulakiwa na Gavana wa kaunti hiyo Gladys...
Wafanyakazi wa afya kuanza mgomo katikati ya Julai
Vyama vya wafanyakazi wa afya vinashikilia kuwa vitaanza mgomo Julai 14, 2023 kutokana na kile kilivyotaja kuwa ukosefu wa hiari ya serikali kushiriki mazungumzo...
Orengo: Tutawaajiri walimu wa ECDE kwa masharti ya kudumu
Gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo amesema serikali yake imeanzisha mchakato wa kuwaajiri walimu wa shule ya chekechea, ECDE kwa masharti yya kudumu.
"Barua...
Mwili wa Tom Osinde wapatikana Migori
Mwili wa afisa wa zamani wa Wizara ya Fedha Tom Osinde umepatikana kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya rufaa ya kaunti ya...
Uwezo wa intaneti wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20 kufuatia matumizi...
Matumizi ya jumla ya data nchini Kenya yaliongezeka kwa asilimia 20.4 katika kipindi cha miezi mitatu hadi mwezi Machi mwaka huu.
Mamlaka ya Mawasiliano...
Gavana Barasa ataka maafisa wafisadi NHIF waadhibiwe vikali
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa ametoa wito kwa Rais William Ruto kuwachukulia hatua kali maafisa wafisadi katika Hazina ya Bima ya Kitaifa,...
Wizara ya Elimu yatakiwa kutenga vyumba vya kuwanyonyeshea watoto
Chama cha Walimu Wanawake Nchini, KEWOTA kimetoa wito kwa Wizara ya Elimu kuwatengea walimu wanawake vijana vyumba maalum vya kuwanyonyeshea watoto.
Chama hicho kinasema hatua...
Walimu wa ECDE kuajiriwa Kericho
Serikali ya kaunti ya Kericho itawaajiri walimu wa kudumu 1,115 wa shule ya chekechea, ECDE mwezi Agosti mwaka huu.
Walimu walio na vyeti katika ECDE...
Serikali kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vya umma
Katibu katika Wizara ya Elimu ya Juu Dr. Beatrice Inyangala amesema serikali ina mipango ya kufungua Chuo Kikuu cha Wazi cha Kenya kwa lengo...
Uhuru, viongozi wengine wakutana nchini Angola
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta leo Jumanne amejumuika na viongozi wa nchi na serikali wa kikanda na wataalam kuhudhuria mkutano wa pande nne unaotafuta...