Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
671 POSTS 0 COMMENTS

Serikali yatoa shilingi bilioni 16.7 za Mpango wa Inua Jamii

0
Serikali imetoa shilingi bilioni 16.7 kwa zaidi ya watu milioni moja wanaonufaika na Mpango wa Uhamishaji Fedha wa Inua Jamii. Fedha hizo ni za kipindi...

Mapigano yaongezeka Khartoum wakati makubaliano ya kusitisha vita kwa siku tatu...

0
Mapiganao makali yalizuka kati ya makundi pinzani ya kijeshi katika baadhi ya sehemu za mji mkuu wa Sudan, Khartoum jana Jumatano, kwani makubaliano ya...

Watumishi wa umma waonywa dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema watumishi wa umma watawajibishwa kwa ubadhirifu wa rasilimali za umma katika idara zao. Koskei amesema serikali inakusudia...

Rejeeni vituoni au mkione cha mtema kuni, Dr. Omollo awaonya maafisa...

0
Maafisa wa utawala wa serikali wanaoendesha shughuli zao nje ya vituo vyao vya utendaji kazi wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kwa sababu...

Serikali kuwaajiri wahamasishaji wa afya ya jamii 103,000

0
Serikali itawaajiri wahamasishaji wa afya ya jamii 103,000 katika hatua ambayo itasaidia kuokoa maisha na rasilimali. Rais William Ruto amesema wahamasishaji hao watapewa vifaa tiba...

Naibu Gavana wa Siaya William Oduol akana tuhuma dhidi yake

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol amekana tuhuma zote zilizowasilishwa dhidi yake ikiwa ni pamoja na utumiaji mbaya wa wadhifa wake na...

Biden amtaja Xi kuwa ‘Dikteta’ siku moja baada ya mazungumzo ya...

0
Rais wa Marekani Joe Biden amemtaja Rais wa China Xi Jinping kuwa dikteta katika hafla ya kuchangisha fedha jijini California. Matamshi yake yanakuja siku moja...

Atwoli, wengine 6 wateuliwa kwenye jopo la kumtafuta mrithi wa Noordin...

0
Rais William Ruto ameteua jopo la uteuzi la watu saba litakaloongoza mchakato wa kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma, Noordin...

Kenya kufanya kazi na UAE kufanikisha mkutano wa COP28  

0
Rais William Ruto amesema Kenya itashirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE ili kufanya Mkutano wa 28 wa Mabadiliko ya Tabia Nchi wa...

AU, WFP kushirikiana kuangazia chanzo cha migogoro

0
Tume ya Umoja wa Afrika kupitia kwa Sekretariati ya Hazina ya Amani, imetia saini Makubaliano na Mpango wa Chakula Duniani, WFP wa kuongeza usaidizi...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS