Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
674 POSTS 0 COMMENTS

Gavana Barasa ataka maafisa wafisadi NHIF waadhibiwe vikali

0
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa ametoa wito kwa Rais William Ruto kuwachukulia hatua kali maafisa wafisadi katika Hazina ya Bima ya Kitaifa,...

Wizara ya Elimu yatakiwa kutenga vyumba vya kuwanyonyeshea watoto

0
Chama cha Walimu Wanawake Nchini, KEWOTA kimetoa  wito kwa Wizara ya Elimu kuwatengea walimu wanawake vijana vyumba maalum vya kuwanyonyeshea watoto.  Chama hicho kinasema hatua...

Walimu wa ECDE kuajiriwa Kericho

0
Serikali ya kaunti ya Kericho itawaajiri walimu wa kudumu 1,115 wa shule ya chekechea, ECDE mwezi Agosti mwaka huu.  Walimu walio na vyeti katika ECDE...

Serikali kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vya umma 

0
Katibu katika Wizara ya Elimu ya Juu Dr.  Beatrice Inyangala  amesema serikali ina mipango ya kufungua Chuo Kikuu cha Wazi cha Kenya kwa lengo...

Uhuru, viongozi wengine wakutana nchini Angola

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta leo Jumanne amejumuika na viongozi wa nchi na serikali wa kikanda na wataalam kuhudhuria mkutano wa pande nne unaotafuta...

Uholanzi kushirikiana na kaunti 47 kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

0
Serikali ya Uholanzi itashirikiana na kaunti zote 47 nchini kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Eneo la kiuchumi la kanda ya Ziwa ni...

Afueni kwa Oduol baada ya Seneti kupinga kutimuliwa kwake

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol amekwepa shoka la kutimuliwa kwenye wadhifa wake. Hii ni baada ya Maseneta kupiga kura kupinga ripoti ya...

Utumieni ujasiriamali kuboresha maisha yenu, Gachagua awarai mahafali

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua leo Ijumaa ametoa wito kwa mahafali kujitosa katika ujasiriamali hata wakati serikali ikiendelea kuweka mipango ya kubuni nafasi za ajira. Gachagua...

Hatima ya Naibu Gavana wa Siaya William Oduol kujulikana Juni 26

0
Naibu Gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol atajua iwapo atandelea kuhudumu katika wadhifa huo au la Jumatatu ijayo. Bunge la Seneti litaandaa kikao...

Tumewafedhesha wanamgambo wa Al-Shabaab, asema Waziri Duale

0
Waziri wa Ulinzi Aden Duale amewapongeza wahadhiri, wanafunzi na jamii kwa jumla kwa ujasiri wao na kwa kutokata tamaa hata baada ya kutokea kwa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS