Martin Mwanje
Ruto: Afrika inapaswa kuunga mkono benki ya Afrexim
Rais William Ruto amesema Afrika inapaswa kuunga mkono benki ya African Export–Import, Afrexim.
Amesema Kenya inashukuru kutokana na ushirikiano ambao imekuwa nao na benki hiyo,...
Kenya yaboresha mazingira kuvutia wawekezaji
Kenya imeboresha mazingira yake ya kibiashara na kisheria ili kuhakikisha uwekezaji na haki ya kumiliki mali vinalindwa ipasavyo.
"Hatua hizi za kimkakati hatimaye zitaifanya Kenya...
Mapato ya KRA yaongezeka kwa asilimia 6.7 hadi shilingi trilioni 2.1
Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Nchini, KRA imesema ilikusanya shilingi trilioni 2.17 katika kipindi cha mwaka mmoja hadi Juni 30, 2023.
Hilo ni ongezeko la...
Azimio yatangaza siku tatu za maandamano kuanzia Jumatano wiki ijayo
Muungano wa Azimio umebadili mwelekeo na sasa unasema utafanya maandamano kwa siku tatu mtawalia wiki ijayo.
Muungano huo ulikuwa umetangaza jana Alhamisi kuwa utafanya maandamano...
Watu 312 wakatamatwa kuhusiana na maandamano yenye vurugu
Watu 312 wamekamatwa kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa jana Jumatano wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa Azimio.
Mbunge wa Mavoko Patrick Makau ni miongoni...
Kenya itawalinda wawekezaji, asema Rais Ruto
Serikali inabuni mazingira bora yatakayovutia uwekezaji wa kigeni humu nchini
Rais William Ruto amesema serikali yake pia itaboresha sera zake ili kuzifanya ziwezeshe utendakazi...
Kura ya maoni: Nchi imechukua mwelekeo mbaya
Asilimia 56 ya Wakenya wanaamini nchi hii imechukua mwelekeo mbaya.
Hii ni kulinganisha na asilimia 48 ya Wakenya waliokuwa na maoni sawia mwezi Machi mwaka...
Waandamanaji watatiza usafiri barabara ya Nairobi Expressway
Baadhi ya huduma za ulipiaji ada kwenye barabara ya Nairobi Expressway zimesitishwa kwa muda baada waandamanaji wanaoshiriki maandamano yaliyoitishwa na kiongozi wa muungano wa...
Tamasha ya muziki yaahirishwa Nyanza kwa sababu ya maandamano
Tamasha ya muziki ya siku nne iliyoleta pamoja shule zote katika eneo la Nyanza na kuandaliwa katika kaunti ya Migori imeahirishwa.
Hii ni kufuatia maandamo...
Chama cha Jubilee kuandaa mkutano wa wajumbe Agosti 7
Mkutano wa Kitaifa wa Wajumbe (NDC) wa chama cha Jubilee sasa utaandaliwa Agosti 7 katika ukumbi wa Bomas of Kenya.
Tangazo hilo limetolewa na Katibu...