Martin Mwanje
Maaskofu wa Kanisa Katoliki: Rais Ruto na Raila wanapaswa kuzungumza
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wametoa wito kwa Rais William Ruto na kinara wa upinzani Raila Odiinga kulegeza misimamo yao mikali na kushiriki meza ya...
Usalama waimarishwa nchini kabla ya maandamano ya Azimio
Hali ya usalama imeimarishwa kote nchini kabla ya maandamano yaliyopangwa na muungano wa upinzani, Azimio kufanyika.
Hali ya utulivu pia imeshuhudiwa katika sehemu mbalimbali...
Fanya fujo uone, aonya Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome
Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS imeapa kuwa maandamano yoyote yatakayofanywa kesho Jumatano yatakabiliwa vikali kwa mujibu wa sheria.
Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome...
Serikali yaagiza kufungwa kwa shule za kutwa Nairobi na Mombasa
Seikali imeagiza kufungwa kwa shule zote za msingi na sekondari za kutwa katika kaunti za Nairobi na Mombasa.
Agizo hilo linakuja kabla ya kufanyika...
Miili mingine 12 yafukuliwa Shakahola
Miili 12 zaidi imefukuliwa katika msitu wa Shakahola leo Jumatatu.
Kufukuliwa kwa miili hiyo kunafikisha 403 jumla ya miili ambayo imefukuliwa katika msitu wa Shakahola...
Wakenya wanaoishi ng’ambo watuma nchini shilingi bilioni 48.8
Wakenya wanaoishi ughaibuni walituma nchini shilingi bilioni 48.8 mwezi Juni mwaka huu.
Hii ni kulinganisha na shilingi bilioni 49.6 walizotuma mwezi Mei.
Hatua hiyo inamaanisha kiwango...
Kenya, Africa CDC kushirikiana kuboresha mfumo wa afya
Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa barani Afrika, Africa CDC ni rasilimali muhimu na mshirika kwa afya ya umma humu nchini na kote barani humo.
Rais...
Azimio: Maandamano ya wiki hii yangalipo
Muungano wa Azimio umesisitiza kuwa maandamano yaliyoratibiwa kufanyika juma hili yataendelea kama ilivyopangwa.
Muungano wa Azimio umeitisha maandamano siku za Jumatano, Ahamisi na Ijumaa kulalamikia...
Kenya Kwanza, Azimio zatakiwa kujadiliana
Kamati ya Ushirikiano wa Vyama vya Kisiasa, PPLC imetoa wito wa kufanywa kwa majadiliano ili kumaliza mivutano ya kisiasa nchini.
PPLC inasema ubabe wa kisiasa...
Rais Ruto: Maandamano hayatafanyika wiki ijayo
Rais William Ruto amesema serikali yake haitakubali maandamano yoyote kufanyika nchini wiki ijayo.
Kauli zake zinawadia wakati ambapo muungano wa Azimio umetangaza kuwa utafanya maandamano...