Martin Mwanje
Wito wa Mudavadi kwa Vyuo Vikuu
Vyuo Vikuu vimetakiwa kukumbatia ubunifu wa kilimo na utafiti ili kubuni suluhisho zitakazopunguza gharama ya maisha.
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema sekta ya...
Mwenyekiti wa zamani wa KTDA aondoa kesi ya kupinga kufurushwa
Mwenyekiti wa zamani wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Chai Nchini, KTDA David Muni Ichoho ameondoa kesi aliyokuwa amewasilisha mahakamani kupinga madai ya kuondolewa kwenye...
Kenya Kwanza yaisihi Azimio kujerea kwenye meza ya mazungumzo
Muungano wa Azimio umetakiwa kurejea kwenye meza ya mazungumzo kati ya upinzani na serikali ya Kenya Kwanza.
Muungano huo ulijiondoa kwenye mazungumzo ya pande mbili...
Waziri Kindiki asema operesheni ya kuwatokomeza wahalifu kuendelea
Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki amesema atafanya kila awezalo kuwafurusha wahalifu katika Bonde la Ufa.
Amesema hatakoma kuwasaka wahalifu waliojihami kwa silaha katika...
Benki ya Equity kuwekeza asilimia 2 ya mapato katika miradi endelevu
Benki ya Equity inalenga kuwekeza angalau asilia mbili ya mapato yake katika miradi endelevu katika masoko saba inakohudumu kwa sasa.
Kulingana na benki hiyo, mikopo...
Watu zaidi ya 30 wauawa na mioto ya mwituni Algeria
Mioto ya mwituni inaongezeka nchini Algeria na kuua watu wasiopungua 34 na kujeruhi wengine 26.
Joto kali zaidi linashuhudiwa nchini humo.
Mioto hiyo ilizuka kote nchini...
Idara ya mahakama yalaani kunyanyaswa kwa wanahabari
Idara ya mahakama imeshutumu vikali kudhulumiwa kwa wanahabari katika majengo ya mahakama ya Milimani.
Hii ni baada ya maafisa wa polisi kunaswa kwenye picha ya...
Wazee kupokea shilingi 8,000 za kuwakimu kimaisha
Wazee kwa mara nyingine wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuanza kupokea malimbikizi ya malipo yao ya kila mwezi ya kuwakimu kimaisha leo...
Nimeelemewa na mafua, sijakutana na Balozi yeyote, asema Raila
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amekana madai ya kukutana na Balozi yeyote wa nchi ya kigeni nchini leo Ijumaa.
Hii ni baada ya madai kuchipuka...
Rais Ruto aapa kuhakikisha utawala wa sheria unadumishwa
Rais William Ruto amewaonya waratibu wa maandamano yanayoendelea kuwa serikali itakabiliana vikali na wale wanaodhamiria kukiuka utawala wa sheria.
Ruto amesema wahalifu ni lazima wakabiliwe...