Martin Mwanje
Rais Ruto: Huduma Namba ilikuwa ulaghai mtupu
Mpango wa Huduma Namba ulikuwa ulaghai mtupu uliosababisha kupotea kwa mabilioni ya fedha za umma bila sababu.
Takriban shilingi bilioni 15 zilitumiwa kwa mpango huo...
Programu ya Gava Mkononi itaboresha utoaji huduma, asema Rais Ruto
Rais William Ruto amesema kupatikana kwa huduma za serikali kupitia kwa mfumo wa digitali wa e-Citizen kutahakikisha Wakenya wanapata huduma bora bila mahangaiko.
"Hauhitaji kumfahamu...
Ruto: Malipo yote kwa serikali kupitia nambari ya paybill ya 222...
Nambari zote za paybill zinazotumiwa kwa sasa kulipia huduma za serikali zitafutiliwa mbali katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.
Rais William Ruto amesema baada ya...
Dkt. Mwangi: Huduma zote 5,000 za serikali zinapatikana katika benki yetu
Huduma zote 5,000 za serikali zinazotolewa kwa njia ya mtandao kupitia jukwaa la e-Citizen zinapatikana katika benki ya Equity.
Wakenya wanaweza wakanufaika na huduma hizo...
Waziri Linturi: Tunafanya mipango ya kuhakikisha wakulima wanapokea mbolea kwa urahisi
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi amesema wizara yake inafanya mipango ya kuhakikisha mbolea ya bei nafuu inayotolewa na serikali inapelekwa karibu na vituo vilivyo...
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga atua Homa Bay
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga leo Ijumaa asubuhi aliwasili katika kaunti ya Homa Bay na kulakiwa na Gavana wa kaunti hiyo Gladys...
Wafanyakazi wa afya kuanza mgomo katikati ya Julai
Vyama vya wafanyakazi wa afya vinashikilia kuwa vitaanza mgomo Julai 14, 2023 kutokana na kile kilivyotaja kuwa ukosefu wa hiari ya serikali kushiriki mazungumzo...
Orengo: Tutawaajiri walimu wa ECDE kwa masharti ya kudumu
Gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo amesema serikali yake imeanzisha mchakato wa kuwaajiri walimu wa shule ya chekechea, ECDE kwa masharti yya kudumu.
"Barua...
Mwili wa Tom Osinde wapatikana Migori
Mwili wa afisa wa zamani wa Wizara ya Fedha Tom Osinde umepatikana kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya rufaa ya kaunti ya...
Uwezo wa intaneti wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20 kufuatia matumizi...
Matumizi ya jumla ya data nchini Kenya yaliongezeka kwa asilimia 20.4 katika kipindi cha miezi mitatu hadi mwezi Machi mwaka huu.
Mamlaka ya Mawasiliano...