Martin Mwanje
Waziri Owalo: Majaribio ya udukuzi yalitibuliwa
Kumekuwa na majaribio kadhaa ya udukuzi yaliyolenga serikali na sekta ya kibinafsi katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa...
Wakati wa kupiga siasa umepita, asema Rais Ruto
Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kushiriki siasa za amani.
Amesema siasa za vurugu na uharibifu wa mali zimepitwa na wakati.
Aidha amesisitiza kuwa...
Kenya Power: Mfumo wetu una matatizo
Kampuni ya umeme nchini, Kenya Power imetangaza kuwa mfumo wake una matatizo yaliyotokana na hitilafu ya mtandao kutoka kwa mtoa huduma wake.
Kutokana na hilo,...
Kaunti kupokea shilingi bilioni 32 Alhamisi
Mgao wa mapato wa shilingi bilioni 32 wa mwezi huu kwa kaunti utatolewa leo Alhamisi.
Rais William Ruto anasema shilingi bilioni 2.3 za mwezi...
Mpango wa lishe katika shule za umma kuendelea Nairobi
Mahakama Kuu imekataa kutoa amri ya kusimamisha mpango wa lishe katika shule za umma katika kaunti ya Nairobi.
Jaji wa mahakama hiyo Mugure Thande katika...
Sahau ugavi wa mamlaka, Muthama amuambia Raila
Hapatakuwa na mazungumzo yoyote ya ugavi wa mamlaka kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.
Hii ni kwa mujibu wa Seneta...
Seneta wa Nakuru Tabitha Karanja mashakani
Mahakama leo Jumatano imetoa kibali cha kukamatwa kwa Seneta wa kaunti ya Nakuru Tabitha Karanja kwa kukosa kufika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kwa...
Ruto: Ili kukua, Afrika lazima iwekeze kwa rasilimali watu
Bara la Afrika lazima liwekeze kimkakati katika nguvukazi yake ili liweze kukua.
Rais William Ruto amesema bara hilo limejaaliwa na rasilimali watu wanaoweza kuchochea...
Waziri Kindiki: Madai ya mauaji ya kiholela hayana msingi
Madai kwamba maafisa wa Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS na maafisa wengine wa usalama wanahusika katika mauaji ya kiholela au kutumia nguvu kupita...
Afisa mmoja wa usalama aliuawa, 305 walijeruhiwa wakati wa maandamano
Afisa moja wa usalama alifariki wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa Azimio.
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Taifa Dkt. Raymond Omollo anasema jumla...