Martin Mwanje
Indonesia kuisaidia Kenya kujitosheleza kwa mafuta ya kupikia
Wizara ya Biashara inasema Indonesia itaisaidia Kenya kuwa na mafuta ya kutosha ya kupikia kupitia kilimo cha mafuta ya mawese, yale ya alizeti na...
Serikali kufufua mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa TARDA
Serikali inanuia kufufua mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa Halmashauri ya Maendeleo ya Mto Tana Athi, TARDA ambao ni mmoja wa miradi mikuu ya...
Kenya kufutilia mbali hitaji la viza kwa raia wa Comoros
Kenya imeelezea dhamira yake ya kufutilia mbali hitaji la viza kabla ya mwisho wa mwaka huu kwa watu wote walio na nyaraka halali za...
Polisi wawaruhusu wanaharakati kufanya maandamano Mombasa
Wanaharakati wa mashirika ya kijamii mjini Mombasa wako radhi kufanya maandamano ya kuadhimisha siku ya Saba Saba keshokutwa Ijumaa.
Hii ni baada ya kupata kibali...
WHO: Mzozo unaoendelea Sudan unazorotesha hali nchini humo
Mzozo unaoendelea nchini Sudan unaongeza changamoto za afya ambazo tayari zinashuhudiwa na hali ya njaa nchini humo.
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani,...
Mbunge Nimrod Mbai alaaniwa kwa kumzaba kofi mfanyakazi wa KPLC
Shutuma zinazidi kuongezeka dhidi ya mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai kutokana na hatua yake ya kumzaba kofi mfanyakazi wa kampuni ya umeme nchini,...
Ruto: Tunapaswa kusawazisha matumizi ya kawaida na maendeleo
Seikali inadhamiria kutafuta usawazishaji mwafaka kati ya matumizi ya fedha za maendeleo na yale ya kawaida.
Rais William Ruto amesema serikali inatumia rasilimali nyingi...
KQ kurejelea safari zake za ndege kama kawaida Alhamisi
Shirika la ndege nchini la Kenya Airways, KQ leo Jumanne limetangaza kuwa litarejelea safari zake za ndege kama kawaida keshokutwa Alhamisi.
Hii ni baada...
Waziri Kindiki asema serikali italiangamiza kundi la Al-Shabaab
Serikali italiangamiza kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab ambao wameendelea kuwa tishio kwa usalama wa taifa.
Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Usalama wa Taifa...
Wakazi wa Ganze, Kilifi watishia kuua tembo
Wakazi wa eneo la Ganze katika kaunti ya Kilifi wametishia kuwaua tembo wanaorandaranda katika eneo hilo na kuharibu mimea.
Wakiongozwa na mbunge wao Kenneth Kazungu,...