Martin Mwanje
Seneta wa Nakuru Tabitha Karanja mashakani
Mahakama leo Jumatano imetoa kibali cha kukamatwa kwa Seneta wa kaunti ya Nakuru Tabitha Karanja kwa kukosa kufika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kwa...
Ruto: Ili kukua, Afrika lazima iwekeze kwa rasilimali watu
Bara la Afrika lazima liwekeze kimkakati katika nguvukazi yake ili liweze kukua.
Rais William Ruto amesema bara hilo limejaaliwa na rasilimali watu wanaoweza kuchochea...
Waziri Kindiki: Madai ya mauaji ya kiholela hayana msingi
Madai kwamba maafisa wa Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS na maafisa wengine wa usalama wanahusika katika mauaji ya kiholela au kutumia nguvu kupita...
Afisa mmoja wa usalama aliuawa, 305 walijeruhiwa wakati wa maandamano
Afisa moja wa usalama alifariki wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa Azimio.
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Taifa Dkt. Raymond Omollo anasema jumla...
Wito wa Mudavadi kwa Vyuo Vikuu
Vyuo Vikuu vimetakiwa kukumbatia ubunifu wa kilimo na utafiti ili kubuni suluhisho zitakazopunguza gharama ya maisha.
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema sekta ya...
Mwenyekiti wa zamani wa KTDA aondoa kesi ya kupinga kufurushwa
Mwenyekiti wa zamani wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Chai Nchini, KTDA David Muni Ichoho ameondoa kesi aliyokuwa amewasilisha mahakamani kupinga madai ya kuondolewa kwenye...
Kenya Kwanza yaisihi Azimio kujerea kwenye meza ya mazungumzo
Muungano wa Azimio umetakiwa kurejea kwenye meza ya mazungumzo kati ya upinzani na serikali ya Kenya Kwanza.
Muungano huo ulijiondoa kwenye mazungumzo ya pande mbili...
Waziri Kindiki asema operesheni ya kuwatokomeza wahalifu kuendelea
Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki amesema atafanya kila awezalo kuwafurusha wahalifu katika Bonde la Ufa.
Amesema hatakoma kuwasaka wahalifu waliojihami kwa silaha katika...
Benki ya Equity kuwekeza asilimia 2 ya mapato katika miradi endelevu
Benki ya Equity inalenga kuwekeza angalau asilia mbili ya mapato yake katika miradi endelevu katika masoko saba inakohudumu kwa sasa.
Kulingana na benki hiyo, mikopo...
Watu zaidi ya 30 wauawa na mioto ya mwituni Algeria
Mioto ya mwituni inaongezeka nchini Algeria na kuua watu wasiopungua 34 na kujeruhi wengine 26.
Joto kali zaidi linashuhudiwa nchini humo.
Mioto hiyo ilizuka kote nchini...