Martin Mwanje
Ulimwengu waadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani
Wadau wa Kiswahili leo Ijumaa, Julai 7, 2023 wameungana mikono kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na...
Ruto: Afrika ifanye kazi kwa umoja kukabiliana na changamoto za pamoja
Rais William Ruto amezitaka nchi za bara la Afrika kufanya kazi pamoja ili kukabiliana na changamoto zake.
Amesema uongozi wa bara hili lazima uchukue hatua...
Wafanyakazi wa KPA waonywa dhidi ya ufisadi
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amewaonya wafanyakazi wa Halmashauri ya Bandari Nchini, KPA dhidi ya kujihusisha katika ufisadi.
Akiwahutubia wafanyakazi na timu ya...
Gachagua: Mabadiliko lazima yahakikishe wakulima wa majani chai wanafaidika
Seikali imekusudia kutekeleza mabadiliko sahihi katika sekta ya majani chai kupitia mtazamo unaotoa kipaumbele kwa wakulima.
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema mabadiliko yanayoshinikizwa yatahakikisha wakulima...
Maafisa 5 wa usalama wauawa Elwak, Kindiki ataka hatua kali kuchukuliwa
Wahalifu jana Jumatano usiku waliwaua maafisa watano wa usalama katika eneo la Elwak.
Kufuatia mauaji hayo, Waziri wa Usalama Kithure Kindiki amewataka maafisa wa usalama...
Indonesia kuisaidia Kenya kujitosheleza kwa mafuta ya kupikia
Wizara ya Biashara inasema Indonesia itaisaidia Kenya kuwa na mafuta ya kutosha ya kupikia kupitia kilimo cha mafuta ya mawese, yale ya alizeti na...
Serikali kufufua mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa TARDA
Serikali inanuia kufufua mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa Halmashauri ya Maendeleo ya Mto Tana Athi, TARDA ambao ni mmoja wa miradi mikuu ya...
Kenya kufutilia mbali hitaji la viza kwa raia wa Comoros
Kenya imeelezea dhamira yake ya kufutilia mbali hitaji la viza kabla ya mwisho wa mwaka huu kwa watu wote walio na nyaraka halali za...
Polisi wawaruhusu wanaharakati kufanya maandamano Mombasa
Wanaharakati wa mashirika ya kijamii mjini Mombasa wako radhi kufanya maandamano ya kuadhimisha siku ya Saba Saba keshokutwa Ijumaa.
Hii ni baada ya kupata kibali...
WHO: Mzozo unaoendelea Sudan unazorotesha hali nchini humo
Mzozo unaoendelea nchini Sudan unaongeza changamoto za afya ambazo tayari zinashuhudiwa na hali ya njaa nchini humo.
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani,...