Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
674 POSTS 0 COMMENTS

Rais Raisi wa Iran sasa kuwasili nchini Jumatano

0
Rais wa Iran Ebrahim Raisi sasa atawasili humu nchini kesho Jumatano kwa ziara ya kitaifa.  Rais Raisi alikuwa amepangiwa kuwasili nchini leo Jumanne. "Ziara hiyo ilipaswa...

Chama cha KUP chatishia kumfurusha mbunge Pkosing

0
Chama cha Kenya Union Party (KUP) kimetishia kumfurusha mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing kama mwanachama na naibu kiongozi wa chama hicho.  Kiongozi wa chama...

Waziri Miano: Sekta binafsi ni muhimu kwa ukuaji uchumi Afrika

0
Waziri wa Jumuiya ya Afrika wa Kenya Rebecca Miano amesisitiza umuhimu wa sekta binafsi katika kuhamasisha ukuaji wa uchumi kitaifa, kikanda na katika ngazi...

Mauaji ya Shakahola: Waziri Kindiki awaomba Wakenya msamaha

0
Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki amewaomba Wakenya msamaha kutokana na mauaji yaliyotokea katika msitu wa Shakahola katika kaunti ya Kilifi.  Jumla ya...

Uzalishaji mahindi Kenya umepungua kwa magunia milioni 10

0
Uzalishaji wa mahindi humu nchini umepungua kwa magunia milioni 10.9 katika kipindi cha miaka mitano hadi mwezi Disemba mwaka 2022, hatua ambayo ni pigo...

Dawa, vifaa muhimu vyaibwa hospitali ya rufaa ya Kakamega

0
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kakamega wanachunguza kisa kimoja ambapo dawa na vifaa muhimu viliibwa katika hospitali ya rufaa ya Kakamega.  Naibu Gavana wa...

Wazee eneo la Gusii washutumu vurugu za Saba Saba

0
Baraza la Wazee katika eneo la Gusii limelaani vikali vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano ya Saba Saba na mechi ya mashindano ya ligi ya...

Viongozi wa NATO wakutana nchini Lithuania

0
Viongozi wa Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO leo Jumanne wanakusanyika katika mji mkuu wa Lithuania, Vilnius kushiriki mkutano wao...

Maafisa wa usalama watambua makaburi zaidi Shakahola

0
Maafisa wa usalama wanaoendeleza shughuli ya kuwasaka wafuasi na manusura wa dhehebu la Good News International linaloongozwa na mhubiri Paul Mackenzie wametambua makaburi mengine...

Wahudumu wa afya Machakos watoa ilani ya mgomo

0
Wahudumu wa afya katika kaunti ya Machakos wametoa ilani ya siku sita ya kugoma iwapo serikali ya kaunti haitakuwa imeshughulikia matakwa yao ya kikazi. Wahudumu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS