Martin Mwanje
Chama cha Jubilee kuandaa mkutano wa wajumbe Agosti 7
Mkutano wa Kitaifa wa Wajumbe (NDC) wa chama cha Jubilee sasa utaandaliwa Agosti 7 katika ukumbi wa Bomas of Kenya.
Tangazo hilo limetolewa na Katibu...
Rais Ruto: Sitakubali Wakenya kufariki kwa sababu ya maandamano
Rais William Ruto amewahakikishia Wakenya kuwepo kwa amani kote nchini kesho Jumatano.
Muungano wa Azimio umepanga kufanya maandamano kote nchini Kesho Jumatano.
"Kesho kutakuwa na amani...
Rais Raisi wa Iran sasa kuwasili nchini Jumatano
Rais wa Iran Ebrahim Raisi sasa atawasili humu nchini kesho Jumatano kwa ziara ya kitaifa.
Rais Raisi alikuwa amepangiwa kuwasili nchini leo Jumanne.
"Ziara hiyo ilipaswa...
Chama cha KUP chatishia kumfurusha mbunge Pkosing
Chama cha Kenya Union Party (KUP) kimetishia kumfurusha mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing kama mwanachama na naibu kiongozi wa chama hicho.
Kiongozi wa chama...
Waziri Miano: Sekta binafsi ni muhimu kwa ukuaji uchumi Afrika
Waziri wa Jumuiya ya Afrika wa Kenya Rebecca Miano amesisitiza umuhimu wa sekta binafsi katika kuhamasisha ukuaji wa uchumi kitaifa, kikanda na katika ngazi...
Mauaji ya Shakahola: Waziri Kindiki awaomba Wakenya msamaha
Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki amewaomba Wakenya msamaha kutokana na mauaji yaliyotokea katika msitu wa Shakahola katika kaunti ya Kilifi.
Jumla ya...
Uzalishaji mahindi Kenya umepungua kwa magunia milioni 10
Uzalishaji wa mahindi humu nchini umepungua kwa magunia milioni 10.9 katika kipindi cha miaka mitano hadi mwezi Disemba mwaka 2022, hatua ambayo ni pigo...
Dawa, vifaa muhimu vyaibwa hospitali ya rufaa ya Kakamega
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kakamega wanachunguza kisa kimoja ambapo dawa na vifaa muhimu viliibwa katika hospitali ya rufaa ya Kakamega.
Naibu Gavana wa...
Wazee eneo la Gusii washutumu vurugu za Saba Saba
Baraza la Wazee katika eneo la Gusii limelaani vikali vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano ya Saba Saba na mechi ya mashindano ya ligi ya...
Viongozi wa NATO wakutana nchini Lithuania
Viongozi wa Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO leo Jumanne wanakusanyika katika mji mkuu wa Lithuania, Vilnius kushiriki mkutano wao...