Martin Mwanje
Waziri Namwamba afungua Tamasha ya Kitaifa ya Muziki Nyeri
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba leo Ijumaa amefungua Tamasha ya Kitaifa ya Muziki inayoandaliwa kwa mara ya 95 nchini.
Namwamba aliandamana na Katibu katika Idara...
Mkurugenzi wa CA Ezra Chiloba asisitiza usalama wa watoto mitandaoni
Matumizi ya intaneti yanaweza yakawafanya watoto kukumbwa na hatari wasipohamasishwa kwa kupewa habari ili kujilinda wenyewe.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini, CA...
Ruto: Rais Bazoum wa Niger arejeshwe madarakani mara moja
Rais wa Niger Mohamed Bazoum aliyechaguliwa kidemokrasia anapaswa kurejeshwa madarakani haraka iwezekanavyo.
Rais Bazoum aling’olewa madarakani na wanajeshi Julai, 26 mwaka huu wakitaja kuzorota...
Mazungumzo yaangazie maslahi ya Wakenya, ashauri Asofu Sapit
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiangilikana humu nchini, ACK Jackson ole Sapit ametoa wito kwa timu za mazungumzo yanayolenga kuleta amani nchini kuyapa kipaumbele...
Rais Ruto: Kenya na Msumbiji kuboresha zaidi uhusiano
Rais William Ruto ameelezea kufurahishwa kwake na uhusiano mzuri wa muda mrefu uliopo kati ya Kenya na Msumbiji.
Amesema uhusiano huo umejikita kwa biashara na...
Uhalifu wa mitandaoni ni tishio kwa vyama vya ushirika
Uhalifu wa mitandaoni na uongozi mbaya ni tishio kwa ukuaji wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo almaarufu SACCOs humu nchini.
Kamishna wa Vyama...
Vyuo Vikuu vya Umma mbioni kujiunga na mtandao wa eCitizen
Huduma zaidi ya 1,000 zinazotolewa na Vyuo Vikuu vya Umma hivi karibuni zitapatikana kwenye mtandao wa eCitizen.
Rais William Ruto ametoa makataa ya hadi mwisho...
Rais Ruto kufanya ziara ya siku mbili Msumbiji
Rais William Ruto leo Alhamisi ataelekea nchini Msumbiji kwa ziara ya siku mbili.
Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya Nairobi Hussein Mohamed.
Mohamed...
Rais Ruto aahidi kutekeleza mpango wa maendeleo nchini
Rais William Ruto amekamilisha ziara yake ya maendeleo ya siku tano katika eneo la Mlima Kenya.
Rais alizindua miradi ya maendeleo na kuwahutubia wakazi wa...
Mudavadi aisihi Afrika kushughulikia kusuasua kwa sekta ya kahawa
Kenya imetoa kipaumbele kwa kahawa kama moja ya sekta muhimu zinazopaswa kufanyiwa mabadiliko ya haraka ili kuhakikisha ustawi wa uchumi.
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia...